Nchi hii ni nchi ya ajabu sana!, Huyu ni rais wa TLS, badala ya kuzungumzia haya TLS, which can do something to help out, anazungumza mtaani that can do nothing!." Tundu Lissu hajakamatwa kisheria, amekamatwa kinyume cha sheria, ameshatgakiwa kinyume cha sheria na mashataka yake yapo kinyume cha sheria. Lazima tujifunze kukataa tutazoesha watu wanakukamata tu hapa wanasema umepindua nchi na kukamata nakupeleka kule alafu nasema msijadili suala lipo mahakamani. Tulipigie kelele na ninasema categorical and ama ready to take this cost, Tundu Lissu ameonewa kushikiliwa ni muendelezo wa manyanyaso na ndo maeneo ambayo namuomba Jaji Mkuu kwa nafasi yake awaambie majaji na mahakimu kesi za nmana hii zisipokelewe- Amesema Wakili Mwabukusi
Ana afadhali kuliko wewe uliyesema tarehe 29 hakukua na mauaji ya halaiki bali vurugu ndogo.Nchi hii ni nchi ya ajabu sana!, Huyu ni rais wa TLS, badala ya kuzungumzia haya TLS, which can do something to help out, anazungumza mtaani that can do nothing!.
P
mayala unachanganyikiwa nenda kasome section cNchi hii ni nchi ya ajabu sana!, Huyu ni rais wa TLS, badala ya kuzungumzia haya TLS, which can do something to help out, anazungumza mtaani that can do nothing!.
P
Wapi unadhani anaweza kuzungumzia hayo na akasikilizwa? Nyie waandishi wa habari na kujipendekeza kote, mbona kila siku sheria mbaya zinazidi kutungwa dhidi yenu, na sasa hata kuripoti ukweli hamdhubutu. Ww bro una mchango wa moja kwa mija wa huu uongozi wa kihuni kwa kujipendekeza kwako.Nchi hii ni nchi ya ajabu sana!, Huyu ni rais wa TLS, badala ya kuzungumzia haya TLS, which can do something to help out, anazungumza mtaani that can do nothing!.
P
mimi sio rais wa TLSAna afadhali kuliko wewe uliyesema tarehe 29 hakukua na mauaji ya halaiki bali vurugu ndogo.
Watu wa ajabu au Nchi ya ajabu Boss,Nchi hii ni nchi ya ajabu sana!, Huyu ni rais wa TLS, badala ya kuzungumzia haya TLS, which can do something to help out, anazungumza mtaani that can do nothing!.
P