Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Haujapita muda mrefu sana amekujibu kwa namna ya kawaida. Huwa mkienda Ikulu mkanywa Juice mkapewa na ya Usafiri basi mnatoka mkiwa mmeacha akili mlango wakati mnaingia na mnapotoka mnatoka bila kuzichukua.
Mnakuja zipata baadaye au msizipate kabisa. Ulitoka Ikulu umebadilisha na Chorus... Mimi nlipoambiwa na watu waliokuwepo Kikaoni kuwa Mwabukusi ametoka "kalegea" sana nikacheka. Nikajua ni zile bahasha huwa tunawapa za usafiri.
Shetani hana rafiki wala adui wa kudumu. Ana maslahi ya kudumu tu. Na ni mnafiq sana mbele za watu ingawa pia anaweza kufanya lolote mbele ya watu hao hao.
Unapoongea na mtu usipumbazwe na tabasamu, utulivu na kuitikia kwake. Subiri matendo ujue alikuwa anakusikia au ana kusikiliza.
pia soma Rais Samia akutana na rais wa TLS, Mwabukusi - Ikulu ya Chamwino Dodoma