Mwabukusi: Waziri hana Mamlaka ya kufuta Kijiji na asili ya Watu wa Ngorongoro

Tunajadili Ngorongoro sasa Vatican inaingiaje hapa?
 
Rais Mwabukusi kaanza vizuri naona sasa TLS inasikika haswa tofauti na mtangulizi wake ilipoa kama maji ya mtungini
 
MIMI TOKA LINI NIKAJIPENDEKEZA KWA WAARABU DR MATOLA (PhD)??kwanza Matola huna adabu kabisa,we PhD umeitolea wapi na ili hali bado hujahama hapo nyumbani??

Bila shaka mimi ni Mmakonde,na siwezi kujipendekeza kwa mwarabu,tunamuuliza huyo mwehu nani kamuongopea kuwa SAMIA KAUZA BANDARI KWA MWARABU??

Zanzibar haikukaliwa na waarabu pekee,hata wazungu walitawala zanzibar na kuifanya kama sehemu yao ya kupokelea na kusafirishia watumwa,ushahidi upo hadi leo lipo kanisa ambalo watumwa walikuwa wanaombewa na kubarikiwa hapo kabla ya kusafrishwa kwenda kwenye mashamba ya Miwa America,Mauritius na kadhalika...
 
This is Legal Bar.

Asante kwa kazi Nzuri Mwabukusi na Team yako
 
malyafale
 
MBONA MAGUFULI ALIIKABIDHI VATICAN KWA BABU ZENU NA SISI HATUKUSEMA KITU??
Uongozi wote wa awamu ya 6 akiwemo Alhaj Bashe walienda Vatican kubusu Pete ya Papa Francisco anayeketi kitini pake Mtume Petro 😂😂😂
 
Unaandika vitu usivyo na ufahamu navyo, unajuwa ni nani aliyepiga marufuku biashara ya utumwa?

Unajuwa ni nani alitowa pesa kuwanunuwa watumwa wote Zanzibar waachiwe huru?

Unajuwa kanisa la Mkunazini Cathedral limejengwa lini na nani aliyetowa kiwanja lijengwe kanisa?
 
Tafuteni hii hukumu hapa halafu mukaikatie rufaa. Waziri hajakurupuka:
 
Endapo kama kweli Serikali Ina Nia njema katika kuwahamisha watu hao huko Ngorongoro, Je, kwa nini basi Serikali inatumia nguvu kubwa sana namna hiyo??
 
Anajifanya kutetea hifadhi kumbe maslahi ya muarabu yameguswa. Sijui waarabu waliwafana nini hawa wenzetu maana huku ni zaidi ya kuwasujudu. Wako radhi waue watanzania wenzao kwa sababu ya muarabu.
 
"ANCESTRAL LAND" bora hata Serikali ya Mkoloni haijawahi kufanya mambo kama haya ya unyanyasaji.
 
"ANCESTRAL LAND" bora hata Serikali ya Mkoloni haijawahi kufanya mambo kama haya.
Siyo kweli unachosema. Serikali ya Uingereza kupitia Gavana wa Tanganyika mwaka 1951 waliwahamisha Wamasai kutoka Serengeti ili kutengeneza Serengeti National Park
 
Chadema wametoka wapi hapo? Au kila aliye tofauti na wewe ni chadema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…