Mwabukusi: Waziri hana Mamlaka ya kufuta Kijiji na asili ya Watu wa Ngorongoro

Mwabukusi: Waziri hana Mamlaka ya kufuta Kijiji na asili ya Watu wa Ngorongoro

Serikali inauwezo kubadili matumizi ya ardhi kwa namna inavyoona inafaa
EEeeeeenHeeeeee!

Sijui ni lini tutasikia serikali inawapokunya mapori watu wa 'Carbon Credit' kabla ya muda waliokubaliana (siri); kwa vile "ina uwezo kubadili matumizi ya ardhi" ya maeneo hayo?
Hawa wawekezaji wanao kuja hapa kutafuta madini tu, hata kabla madini hayajapatikana, wakipokonywa maeneo serikali inalizwa (Tanzania inalizwa)!

Haya yote hayawezi kutufundisha kitu sisi raia kwa uonevu tunao fanyiwa?
 
Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) Boniface Mwabukusi, amesema Waziri hana Mamlaka ya Kufuta Vijiji vya Ngorongoro

Ameyasema hayo leo 20/08/2024 Mkoani Dar Es Salaam alipokuwa anaongea na Waandishi wa habari. Amesema kama TLS wanaaangalia cha kufanya. "Wale wananchi wa Ngorongoro hawapaswi kupuuzwa, Warudishiwe huduma Muhimu pia Warudishiwe vituo cha kupigia Kura. Ni lazima tujue chanzo cha Tatizo Ngorongoro ni nini?". Amesema Mwabukusi

Mwabukusi amelipongeza Jeshi la Polisi kwa kuwakamta wabakaji na kuwafikisha Mahakamani. Amesema kuwafikisha mahaksmani ni hatua ya kwanza, ametaka Polisi imfikishe Mahakamani aliyewatuma pia. Pia amewata Polisi kumuachia na kumuweka wazi mwanamke alipata madhira ili haki yake ipatikane ikiwrmo kupewa msaada wa kisheria..

Stsy tuned

=====

20 Agosti, 2024

TAARIFA KWA UMMA

KUHUSU WITO WA WANANCHI WA NGORONGORO NA MAENEO MENGINE KUTAKA KUHESHIMIWA KWA HAKI ZAO

Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimepata taarifa kupitia mitandao ya kijamii kwa njia ya video iliyosambaa kwenye mitandao hiyo ikionyesha maandamano yaliyofanywa mnamo tarehe 18 mwezi Agosti, 2024 na mamia ya Wananchi wa Ngorongoro wakidai kuheshimiwa kwa haki zao. Katika maandamano yao miongoni mwa mambo mengine, Wananchi hao wamesikika wakilalamikia kuondolewa kwenye maeneo yao kinyume na utaratibu bila wao kuridhia pamoja na kuondolewa kwa huduma zote za kijamii kama vile shule, huduma za afya pamoja na maji. Kutokuwepo kwa huduma hizi muhimu kumepelekea Wananchi hao kuendelea kuishi katika mazingira magumu.

Tamko la Umoja wa Mataifa Juu ya Haki za Watu wa Asili la Mwaka 2007 limeeleza wazi katika ibara ya 10 kwamba watu wa asili hawataondolewa kwa nguvu kutoka kwenye ardhi au maeneo yao, uhamisho wowote wa watu wa asili hauwezi kufanyika bila idhini yao huru

Kwa mujibu wa ibara ya 24 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, kila mtu anayo haki ya kumiliki mali na haki ya hifadhi ya mali yake aliyonayo. Haki ya kumiliki mali ni moja ya haki ya msingi ya binadamu. Ibara 24 (2) imeeleza wazi kwamba mtu yoyote hatonyang’anywa mali yake isipokuwa kwa kuzingatia taratibu za kisheria ikiwepo ulipwaji wa fidia stahiki.

TLS inatoa rai kwa Serikali kuonyesha nia yake ya dhati kwa kurudisha huduma zote za kijamii kwa Wanachi wa Ngorongoro kwa kuwa ni haki yao. Pia, vituo vya kujiandikisha kwa ajili ya kupigia kura ambavyo Wanachi wa Ngorongoro wanalalamika kwamba havipo katika maeneo yao virudishwe ili wapate kuitumia haki yao ya kikatiba ya kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za mitaa uliopangwa kufanyika mwezi Novemba mwaka 2024 pamoja na Uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka 2025.

Baraza la Uongozi la TLS limeona jambo hili la Ngorongoro na maeneo mengine linahitaji ufuatiliaji wa kina zaidi na kwa sababu hiyo, Baraza limeamua kuunda kamati maalum itakayofuatilia jambo hili kwa ukaribu ikiwa ni pamoja na kuwasiliana na Idara, Wizara na vyombo vyote vinavohusika na suala la Ngorongoro ili kujua ukweli zaidi na kuhakikisha misingi ya sheria za nchi yetu inafuatwa.

Kamati iliyoundwa inajumuisha wajumbe wafuatao:

*Dr. Rugemeleza Nshala
*Tike Mwambipile
*Bumi Mwaisaka
*Laetitia Petro Ntagazwa na
*Paul Kisabo.

Miongoni mwa mambo mengine kamati itafanya mambo yafuatayo:

*Kufanya mashauriano na taasisi mbalimbali pamoja na kutembelea baadhi ya maeneo yenye migogoro ili kujua uhalisia wa migogoro husika.

*Kufanya Mapitio ya Sera ,Sheria na Mazoea pamoja na kuzichambua kuhusiana na umiliki wa Ardhi kwa Wazawa pamoja na shughuli za uwekezaji na Uhifadhi na kubaini uzingativu wa Haki za Msingi za Raia katika maeneo husika kwa kuzingatia Katiba, Sera na Sheria za Nchi.

*Kuandaa kongamano (Symposium) la Kitaifa kuhusiana na namna bora ya kufanya maendeleo kwa kuzingatia na kulinda haki za Wazawa katika Ardhi zao za Asili pamoja na haki zao za Kijamii, Kiuchumi na Kiutamaduni katika maeneo yanayofikiwa na shughuli za uwekezaji.

*Kubaini mashauri au hatua zote ambazo zimechukuliwa na walalamikaji pamoja na walalamikiwa kisheria na kiutaratibu katika kuhakikisha uzingativu wa sheria na kubaini majina ya watu ambao kweli wameridhia kuondoka kwa hiyari kwenye maeneo yao na ambao hawakuridhia kuondoka kwa hiyari kwa sababu ya wao kuamua kubaki katika eneo lao la asili Ngorongoro.

*Kubaini na kulishauri Baraza la Uongozi la Chama Cha Mawakili wa Tanganyika juu ya hatua zakuchua ili kupata ufumbuzi wa kudumu kuhusu swala la migogoro ya Ardhi inayosababishwa na mipango ya uwekezaji au uhifadhi.

Kamati inatarajiwa kumaliza kazi tajwa ndani ya muda wa kipindi cha siku 30.

TLS inawaomba Wanachama, Wananchi pamoja na wadau mbalimbali wa Sheria kutoa ushirikiano kwa Kamati maalum iliyoundwa ili TLS kwa mamlaka iliyopewa chini ya kifungu cha 4 cha Sheria iliyounda TLS (Tanganyika Law Society Act Cap. 307) iweze kutimiza wajibu wake wa kuishauri Serikali na Kulinda haki za Wananchi kwa lengo la kupata suluhisho la kudumu.

Imetolewa na Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)

Boniface A.K Mwabukusi

Rais
ufumbuzi wa kisheria na kikatiba kuhusu jambo hili, umehitimishhwa rasmi na tangazo la serikali, la kuifuta rasmi
halmashauiri, kata, vijiji na vitongoji vya eneo la hifadhi asili ya taifa ngorongoro...

bahati nzuri hakuna watu tena wanaoishi ndani ya hifadhi ya taifa ya ngorongoro,
wate walisha hamia msomera mkoani Tanga, kea hiyari yao na maisha yao ni mazuri mno huko....

hao wavamizi wanaokuja na magari ya watalii watakabiliana na ngivu ya dola. ni vizuri wakajitenga na kiburi na ukaidi wa kutii sheria bila shuruti kwa kurubuniwa kifikra na watu kama huyu kaidi mwenye kiburi wa TLS....

shughuli za kibinadamu haziruhusiwi tena eneo hilo, ili kuziua uharibifu wa mazingira nadni ya hifadhi hiyo muhimu kwa urithi wa vizazi vijavyo na maslahi mapana ya Taifa :pulpTRAVOLTA:
 
ufumbuzi wa kisheria na kikatiba kuhusu jambo hili, umehitimishhwa rasmi na tangazo la serikali, la kuifuta rasmi
halmashauiri, kata, vijiji na vitongoji vya eneo la hifadhi asili ya taifa ngorongoro...

bahati nzuri hakuna watu tena wanaoishi ndani ya hifadhi ya taifa ya ngorongoro,
wate walisha hamia msomera mkoani Tanga, kea hiyari yao na maisha yao ni mazuri mno huko....
Kwa kweli mtu/shetani wewe unasikitisha sana.
Hao walio andamana siyo watu?
Lakini ngoja nikae vizuri hapa, tuanze ligi!
 
Kwa kweli mtu/shetani wewe unasikitisha sana.
Hao walio andamana siyo watu?
Lakini ngoja nikae vizuri hapa, tuanze ligi!
unababaika huku kazi ya maendeleo inaendelea gentlemen? :pedroP:

ligi ya kiongozi na mwananchi ni kuchelewesha au kuzuia waTanzania wengine nao wasipate fursa ya conversations na engagements ya mambo ya msingi mbalimbali nchini:pulpTRAVOLTA:
 
unababaika huku kazi ya maendeleo inaendelea gentlemen? :pedroP:

ligi ya kiongozi na mwananchi ni kuchelewesha au kuzuia waTanzania wengine nao wasipate fursa ya conversations na engagements ya mambo ya msingi mbalimbali nchini:pulpTRAVOLTA:
Hakuna ninacho sikitikia hapa, kwa sababu hii ni hatua nzuri mliyo fanya kusaidia ukombozi wa nchi yetu. Shetani kwa njia zake naye mara nyingine husababisha matokeo mazuri hata kama lengo la mashetani ni kuangamiza binaadam.
 
Anajifanya kutetea hifadhi kumbe maslahi ya muarabu yameguswa. Sijui waarabu waliwafana nini hawa wenzetu maana huku ni zaidi ya kuwasujudu. Wako radhi waue watanzania wenzao kwa sababu ya muarabu.
Ni wajinga sana
 
Hakuna ninacho sikitikia hapa, kwa sababu hii ni hatua nzuri mliyo fanya kusaidia ukombozi wa nchi yetu. Shetani kwa njia zake naye mara nyingine husababisha matokeo mazuri hata kama lengo la mashetani ni kuangamiza binaadam.
hebu keti kando kidogo acha na wenzio wapate fursa kujadiliana na kiongozi wao gentlemen.. :NoGodNo:
 
kuchelewesha au kuzuia waTanzania wengine nao wasipate fursa ya conversations na engagements ya mambo ya msingi mbalimbali nchini
Sijawahi kusikia hadithi wala habari yoyote ikielezea "shetani mvuta bangi", hadi nilipo kutana na wewe humu JF!
 
kua na heshima kidogo bas ndugu mwananchi na huna hoja :pedroP:
Heshima kwa shetani mvuta bangi? Naona hata uchizi unakuandama vilevile!
Hilo lisahau kabisa.

Ukitaka heshima, ni lazima uwaheshimu waTanzania kwanza. Na mweleze hivyo hivyo anaye kuleta hapa JF kuwalaghai na kuwadharau waTanzania.
 
Samia amedhamiria kuikabidhi Tanganyika yote kwa wajomba zake waarabu
Siyo kukabidhi kwa wajomba,hoja hapo ni ongezeko kubwa la Wamasai ktk hifadhi ya ngorongoro kitu ambacho kitasababisha hifadhi hiyo kutoweka.ukweli usemwe tuache siasa.mbona mnaongelea ngorongoro tu vipi kasulu,Kakonko,rombo,hai na kwingineko?you should be pragmatic avoid biasness.
 
ARE YOU TRYING TO ASK ME ABOUT THE ABOLITION OF SALVE TRADE THAT TOOK PLACE IN AUGUST 1833??

COME ONE DR UCHWARA MATOLA,BRITAIN ABOLISHED IT NOT BECAUSE THEY LOVED OUR FOR FATHERS YOU IDIOT,DO NOT ASSUME THAT THEY WERE HEROES.

SLAVE TRADE CEASED TO BE PROFITABLE TO THEM SOON AFTER INDUSTRIAL REVOLUTION...
Kwanza ukiona mpumbavu anaandika all Caps ni dalili za kupanic na mpumbavu kabisa.

Jibu maswali niliyokuuliza pimbi wa kimakonde wewe, kula panya kumekuondowa akili. Fanculo.
 
Kwanza ukiona mpumbavu anaandika all Caps ni dalili za kupanic na mpumbavu kabisa.

Jibu maswali niliyokuuliza pimbi wa kimakonde wewe, kula panya kumekuondowa akili. Fanculo.
Matola,fanya kwanza uhame hapo Kwa shemeji yako unapotunzwa ndipo uje USIMAME kuongea na wanaume Matola.

HUONI aibu kuishi mjini hapa Kwa kutegemea mgongo wa Dada?

Ondoka haraka ukaanze kujitegemea,huyo mume wa dada yako siku akikuchoka utafanyaje?
 
Matola,fanya kwanza uhame hapo Kwa shemeji yako unapotunzwa ndipo uje USIMAME kuongea na wanaume Matola.

HUONI aibu kuishi mjini hapa Kwa kutegemea mgongo wa Dada?

Ondoka haraka ukaanze kujitegemea,huyo mume wa dada yako siku akikuchoka utafanyaje?
Wenye akili tayari wameshapata majibu kwamba wewe ni porojo tu zimekujaa huna ulijuwalo.

Haya Mtwara gesi imetoka au haijatoka? Tangu utatuliwe marinda na wajeda akili zimekuruka.

Lete vyoko tena kwa wajeda wakuchane kabisa kijambio.
 
Yana muda basi?yaani hapo ni kelele TU halafu mkichunguza mnafanya nini?
 
Wenye akili tayari wameshapata majibu kwamba wewe ni porojo tu zimekujaa huna ulijuwalo.

Haya Mtwara gesi imetoka au haijatoka? Tangu utatuliwe marinda na wajeda akili zimekuruka.

Lete vyoko tena kwa wajeda wakuchane kabisa kijambio.
Kama umegoma kuhama Kwa shemeji yako anaemgonga dada yako basi JIANDAE na wewe kumsaidia majukumu ya ndoa dada yako.

Mtoto wa kiume kupenda vya Bure mwishowake ona Sasa unakuja kugeuka chakula,hakuna vya Bure town hapo, wewe hata hiyo miwani yako ununuliwe na shemeji kweli??
 
Back
Top Bottom