Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,028
Jamaa anajituma sana hongera zake akiendelea hivi anaweza kuitikisa Afrika katika idara ya Muziki na si ajabu dunia ali mradi tu ajiepushe na vishawishi ambavyo vinaweza kumharibia...Picha zimetoka bomba ile mbaya.QUOTE]
Ajiepushe na vishawishi asije yakamkuta kama ya timbulo nasikia atakwenda italy kufanya show na madensaa wake wawili,ajihadhari. Na zawad ya mabegi watampoteza
mara mumponde leo amekuaje mwamsifu??haters wa ki
tanzania hawaelewek kabisa ka wanawake aaargh
Ningeshangaa nyumba ndogo ya Diamond kama usingejifaraguwa kwenye hii thread.mara mumponde leo amekuaje mwamsifu??haters wa ki
tanzania hawaelewek kabisa ka wanawake aaargh
Ningeshangaa nyumba ndogo ya Diamond kama usingejifaraguwa kwenye hii thread.
Safi sana 'almasi' naona hadi domo linapiga gym ah!
siko hapa kusaka mapenzi au kupendwa kwa namna yoyote.Simpendi mtu anayenanga maumbile ya mwenzake, hakujiumba mwenyewe ni Mungu aliona inafaa kumuumba hivyo. Sidhani kama wewe uko vizuri kila idara. Na hujafa hujaumbika laana hizo unazozitafuta zitafata mpaka kizazi chako. Mchezee Mungu...