Mwacheni Diamond Aitwe Diamond-Picha za Show yake ya Jana na Wafanyakazi wa CBA Bank Pale Kempiski

Mwacheni Diamond Aitwe Diamond-Picha za Show yake ya Jana na Wafanyakazi wa CBA Bank Pale Kempiski

mganga wa dayamondi noma hadi mimi sahivi namkubali. ila dayamondi ajiri dereva basi atleast wa kuenda na kutoka kwenye show.
 
mara mumponde leo amekuaje mwamsifu??haters wa ki
tanzania hawaelewek kabisa ka wanawake aaargh
 
Jamaa anajituma sana hongera zake akiendelea hivi anaweza kuitikisa Afrika katika idara ya Muziki na si ajabu dunia ali mradi tu ajiepushe na vishawishi ambavyo vinaweza kumharibia...Picha zimetoka bomba ile mbaya.QUOTE]
Ajiepushe na vishawishi asije yakamkuta kama ya timbulo nasikia atakwenda italy kufanya show na madensaa wake wawili,ajihadhari. Na zawad ya mabegi watampoteza
 
safi sana anachapa kazi, halafu inaelekea anaspendi kwa akili, gari moja wachezaji wote, dereva yeye mwenyewe...lazima afanikiwe, sio wale wenzangu kawimbo kamoja kakipendwa basi break ya kwanza kwa mganga kumkabidhi mapato yote mh!
 
Kuna siku humu mtu atatandikwa Liboro kwa kushobokea vidume wenzake.
 
...Kijana ni Mkali. Na apewe Sifa zake anazostahili. Hizo Kasoro zake chache ni changamoto ambazo watu wake wa karibu wanapaswa kumuambia ili ajirekebishe na sio Kumpiga Mizinga tu. Cha ziada nilichoona pichani ni Kunona :yo: kwa hao Wana wa CBA Bank.
 
Huyo dada aliyevaa guani la pink ni mtihani almasi sidhani aliondoka bila kuchukua contact zake
 
Safi sana 'almasi' naona hadi domo linapiga gym ah!

Simpendi mtu anayenanga maumbile ya mwenzake, hakujiumba mwenyewe ni Mungu aliona inafaa kumuumba hivyo. Sidhani kama wewe uko vizuri kila idara. Na hujafa hujaumbika laana hizo unazozitafuta zitafata mpaka kizazi chako. Mchezee Mungu...
 
Simpendi mtu anayenanga maumbile ya mwenzake, hakujiumba mwenyewe ni Mungu aliona inafaa kumuumba hivyo. Sidhani kama wewe uko vizuri kila idara. Na hujafa hujaumbika laana hizo unazozitafuta zitafata mpaka kizazi chako. Mchezee Mungu...
siko hapa kusaka mapenzi au kupendwa kwa namna yoyote.

Diamond ana 'BAKULI' ndiyo.Ana domo kubwa,mbona wabongo mnapenda kupambana hata pasipopambika?

Jay zee aitwe domo sembuse hilo bakuli la Almasi?

Na laana zikuanze wewe kwanza.
 
nimependa picha zake sana zimetokelezea mno, pia alowavesha big up sana. nampongeza sana hata kwa yeye kukubali kuwagharamia wacheza how wake wakapendeza kiasi hiki.

wametoa show la nguvu, limependeza sana sana lkn namtaka mshauri wake asimruhusu awe anajiendesha mwenyewe kwani mara nyingi tumezoea kuona mastaa wetu wakifa kwa ajali za barabarani ambazo nyingi huwa ni sababu ya uzembe na over speeding.

otherwise good job platnamz
 
Dogo namkubali anajituma sana sana. Atafika mbali kwa kweli. Asiangalie majungu ya waswahili eti mara ooh freemasons, mara ooh mhuni... Wewe mbele kwa mbele hadi dunia ikujue. Hongera sana. Usiwaangalie wasanii wavivu kama kina Bushoke ambaye alitoka na singo moja tu akajiona amewini akahamia mikocheni kwenye nyumba ya mil 2 kwa mwezi then maisha yakamshinda sijui sa hv yuko wapi! Kama hunywi pombe ukalewa nakushauri uendelee kujiendesha tu mwenyewe ila kama unakunywa ni vyema ukaajiri dereva asiyekunywa lwa ajili ya usalama zaidi
 
tatizo kijana mwenzetu mganga wake kamwabia mzuka ukipanda lazma uvue t-sht
 
Back
Top Bottom