Mwadui FC Vs Simba SC

Simba hawawezi kushinda mpaka mamia ya watanzania wafe
 
Dk ya 81, mwadui wanaandika goli la Kwanza

Mwadui 1, simba 3
 
Na kwann iishe saizi?
 
Simba 3 - Mwadui - 1 Simba Watapewa penaiti ambayo itawachanganya Mwadui
Mkuu wapatie sasa Ndala matokeo ya 30/09/2018.. Maana sisi Simba SC tunayo tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…