Mwadui FC Vs Simba SC

Mwadui FC Vs Simba SC

Mikia wajichagulie nani aanze ili kupunguza magoli, Tambwe au Makambo
 
Baada ya maafande wa JKT Tanzania kutulindia nafasi yetu kwa mda mrefu.. Hatimae Mnyama karejea kwenye nafasi yake (1).. Mpaka sasa msimamo wa ligi.. Simba SC anaongoza ligi.

Haya sasa laki si pesa na dada yako Hajar ligi ikiisha mda huu.. Nani atakua bingwa?
Mnaongoza ligi gani mkuu.
 
Vyura wanashangilia bocco hatakuepo wanasahau kuna okwi, kaheza na salamba [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kaheza + Salamba = Matheo Anthony

[emoji12][emoji12][emoji12]
 
Wakati huo huo la Mikia likiwa la penalty ya kupewa,mpaka sasa half time timu ya Wananchi 2 Walima alizeti 0 magoli yote yakifungwa na Amis Joselin Tambwe
Timu kama inaweza kuwapa wachezaji itashindwaje kuruhusu magoli
 
Nakukumbusha anaweza akakufunga kama alivyokufunguka last time
But hainishangazi lakini.

Mchezaji yeyote wa Simba ili awe star ni lazima aifunge Yanga bao zisizopungua 2.

To be a star in Yanga SC squad you have to do more than that....

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aliyekuwa anawekwa bench na Mlipili ?
Au kuna juurko mwingine?


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio Mkuu.. Namzungumzia Juko aliyemuweka mfukoni, mchezaji bora kabisa kuwahi kutokea nchini.. Samata.
 
Ndio Mkuu.. Namzungumzia Juko aliyemuweka mfukoni, mchezaji bora kabisa kuwahi kutokea nchini.. Samata.
Samatta naye Mchezaji....?

Waulize waganda.....Hawajawahi kuwa na mchezaji wa kumuweka mfukoni Lunyamila.

Umesahau ilo.
 
Samatta naye Mchezaji....?

Waulize waganda.....Hawajawahi kuwa na mchezaji wa kumuweka mfukoni Lunyamila.

Umesahau ilo.
Tanzania raha sana... kwahiyo Samatta anasubiri sana kwa Lunyamila, sio?
 
Mmh. Maneno hayo angetamka Nchemba mwenyewe angalaau ningekuelewa Mtani nje ya hapo hii ni habari ya udaku kama zilivyo habari nyingine za udaku. [emoji23][emoji23]
Hahaha.. Kwahiyo unakana Singida united haijawapa Feisal?
 
Back
Top Bottom