Mwadui FC yamumunywa na Simba SC Kambarage, Mwadui 0-3 Simba

Nipotezee ukitaka kuwa kifimbo cheza nenda instagram katafute page inaitwa Mange Kimambi au kichwapanzioriginal
 
Safi sana Mwadui FC zuia hilo treni, uwezo unao, tupo pamoja.
 
Nakuelezea tu kama ndugu wa kitanzania. Tulivyo lelewa kuna maneno huwez tamka ikiwa ulipata malez mema au ulikulia sehem nzuri. Naweza pia nisilaumu wazaz sabab wakat flan ni akili tu za mtu.anyway mi sikulaumu ndugu yangu.

Nashukuru sana.tuendelee kushabikia timu zetunza simba na yanga kwa mapenzi ya mpira na tusiache akili zetu chooni.

Nipotezee ukitaka kuwa kifimbo cheza nenda instagram katafute page inaitwa Mange Kimambi au kichwapanzioriginal
 
Magoli kama haya angekuwa anashinda Yanga tungesikia Yanga kanunua mechi kwa vile wanashinda wao mikia ahaaa kwao safi
 
GOOOOOOOOO Dk 45, Kichuya anaifungia Simba bao la pili leo, la nane kwake akiunganisha pasi safi ya Mohamed Ibrahim

Dk 44, Rajab Ismail anaingia vizuri hapa, anapiga shuti hatari. Lakini linatoka kidogo tu nje ya lango la Simba

SUB Dk 42, Simba wanafanya mabadiliko, wanamtoa Mavugo na nafasi yake inachukuliwa na Ame Ali

Dk 40 sasa, bado mpira haujachangamka sana, Simba wana mashambulizi kadhaa lakini si makini katika umaliziaji na MWadui FC wanaonekana kutokuwa na mipango bora wanapofika kwenye lango la Simba
 

We boya acha na mimi. Kama hujui misemo ya kimichezo rudi kwenye majukwaa yenu ya udaku na siasa. Otherwise kama unakereka na post zangu hit kutufe cha ignore list. Otherwise acha kunitafutia ban zisizona kichwa wala miguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…