Mwadui FC yamumunywa na Simba SC Kambarage, Mwadui 0-3 Simba

Mwadui FC yamumunywa na Simba SC Kambarage, Mwadui 0-3 Simba

SUB Dk 46, Ibrahim Ajibu anaingia uwanjani kuchukua nafasi ya Mwinyi Kazimoto, mpira umeanza
 
Dk 48, MWadui wanapata kona yao ya kwanza kipindi cha pili, inachongwa na Ismail, haina matunda
 
Nakuelezea tu kama ndugu wa kitanzania. Tulivyo lelewa kuna maneno huwez tamka ikiwa ulipata malez mema au ulikulia sehem nzuri. Naweza pia nisilaumu wazaz sabab wakat flan ni akili tu za mtu.anyway mi sikulaumu ndugu yangu.

Nashukuru sana.tuendelee kushabikia timu zetunza simba na yanga kwa mapenzi ya mpira na tusiache akili zetu chooni.
Kuna wakati huwa nakuwa na mashaka na watu kama hao nao ni GT? Na ilikuwaje yupo hai hadi leo maana naona akili aliyo nayo haimuwezeshi hata kuvuka barabara... Labda huwa anavushwa cha msingi usibishane nae ndg..
 
Kuna mtu nimekaa nae hapa kwenye daladala ni shabiki wa yanga alikua amewasha redio kwenye simu naona kazima ghafla [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom