Mwadui FC yamumunywa na Simba SC Kambarage, Mwadui 0-3 Simba

Mwadui FC yamumunywa na Simba SC Kambarage, Mwadui 0-3 Simba

Huyu kipa wa simba kazi yake kubwa ni kupiga goal kick. Angeweza hata kwenda kukaa bench la wachezaj wa akiba akawa anatizama mpira na wenzie. Golini hata angeweka chupa ya maji tu ingefaa kuonesha kuwa yupo. Naona kamq wamesajili bure tu halaf anachezea simba anapoteza kipaj chake maana hapati hata mipira ya kudaka ...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uchochezi huo,
unataka mwenzio akose kibarua??
 
Huyu kipa wa simba kazi yake kubwa ni kupiga goal kick. Angeweza hata kwenda kukaa bench la wachezaj wa akiba akawa anatizama mpira na wenzie. Golini hata angeweka chupa ya maji tu ingefaa kuonesha kuwa yupo. Naona kamq wamesajili bure tu halaf anachezea simba anapoteza kipaj chake maana hapati hata mipira ya kudaka ...
Ubaya timu pinzani hazijajua udhaifu wa huyo kipa kupiga mashuti ya mbali au kushtukiza mabeki wanabeba lawama za kipa wanafuta makosa ya kipa.
 
simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
simba.........................................................aaaaaaaaaa
 
Viva Simba
Wataalamu wa soka wanakwambia Washambuliaji wanakufanya ushinde mechi lakin mabeki wanakufanya ushinde kikombe!
Simba ya sasa inashumbulia bila ya mashaka kwa sababu hawana hofu ya kufungwa goli...Ukuta umetulia sana,katika mechi 12 mpaka sasa simba imeruhusu goli 2 tu na haikupata Clean sheet kwenye mechi mbili tu ile ya yeboyebo siihesabii mana hawakufunga goli nao hatuchezi netball sis
Wachambuzi wanakwambia hizo ndio features za timu inayogambania ubingwa
[HASHTAG]#simbanguvumoja[/HASHTAG]
 
Yeboyebo FC walidai Simba Anashinda Dar tu Akienda Mikoani Atafungwa!! Tulienda Mbeya Tukachinja Mtu! Waksema Tumebahatisha... Leo Tumevuruga Mtu Shinyanga! Mkodisho Kimyaaaa! Sasa Mimi Naiomba TFF kama itawezekana itupangie Mikoa Ya Mbali Kidogo Ya Nchi Jirani Kama Vile Ya Rwanda na Uganda manake Kwa Mikoa Hii Ya Tz hakuna Wa Kutuzuia..
 
Hivi Simba hawajanunua hii mechi?
Yanga ikishinda, imenunua!
Simba akishinda, ni ufundi wao.
Only in Tanzania!
 
Hivi Simba hawajanunua hii mechi?
Yanga ikishinda, imenunua!
Simba akishinda, ni ufundi wao.
Only in Tanzania!
Kagera ndio walioona wamehujumiwa na wao ndio wanawajua wachezaji wao vizuri wao ndio waliiona utofauti wa uchezaji wao mechi na yanga na ndio mana wakafungia
 
Back
Top Bottom