Munni
JF-Expert Member
- Oct 2, 2016
- 328
- 434
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu kipa wa simba kazi yake kubwa ni kupiga goal kick. Angeweza hata kwenda kukaa bench la wachezaj wa akiba akawa anatizama mpira na wenzie. Golini hata angeweka chupa ya maji tu ingefaa kuonesha kuwa yupo. Naona kamq wamesajili bure tu halaf anachezea simba anapoteza kipaj chake maana hapati hata mipira ya kudaka ...
Uchochezi huo,
unataka mwenzio akose kibarua??