Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Aisee....Pole lakini..Kila lakheri Mwadui fc wapige haoo 3 tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee....Pole lakini..Kila lakheri Mwadui fc wapige haoo 3 tu
Nipotezee ukitaka kuwa kifimbo cheza nenda instagram katafute page inaitwa Mange Kimambi au kichwapanzioriginalNdugu yangu umelelewa na wazaz kwel kwa maneno hayo unayoyatamka? Anyway hata kama hujalelewa na wazaz ina maana hata malezi ya kawaida tu hujapata? Binadam wa kawaida hawez mwita binadam mwingine hivyo hata kama anamchukia vibaya sana.
Ushabiki wa simba na yanga usiondoe akili zetu au ustaarab.
Leten matokeo kamiliMo ibrahm kashafanya yake
Upo dunia gani..Safi sana Mwadui FC zuia hilo treni, uwezo unao, tupo pamoja.
Nipotezee ukitaka kuwa kifimbo cheza nenda instagram katafute page inaitwa Mange Kimambi au kichwapanzioriginal
Ukweli ndugu?Tunararua ...
Simba 2-0 Mwadui
Mnyama ameanza kula kitoweo chake tayari..Leten matokeo kamili
Daah.....Ukweli ndugu?
mkuu mbona povu sanaMagoli kama haya angekuwa anashinda Yanga tungesikia Yanga kanunua mechi kwa vile wanashinda wao mikia ahaaa kwao safi
Nakuelezea tu kama ndugu wa kitanzania. Tulivyo lelewa kuna maneno huwez tamka ikiwa ulipata malez mema au ulikulia sehem nzuri. Naweza pia nisilaumu wazaz sabab wakat flan ni akili tu za mtu.anyway mi sikulaumu ndugu yangu.
Nashukuru sana.tuendelee kushabikia timu zetunza simba na yanga kwa mapenzi ya mpira na tusiache akili zetu chooni.