OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
-
- #61
Ni wachimba kokoto..mnyama piga hao wachimba madini
mkuu ukisema kichuya ujue plujimu anapata tabu kweliHalf time Simba 2,Kichua 1
Unataka kusema lile goli linaloweza kufungwa kila baada ya miaka 10,mkuu ukisema kichuya ujue plujimu anapata tabu kweli
Mkuu.. Naona leo umejitahidi kudumu.. Nakumbuka gemu tuliyowatafuna Kagera, baada ya Muzamiru kuhamia kambani, ikawa mwisho wa updates. Leo naomba uendelee kutuhabarisha kila kinachojiri mpaka mpira utakapoisha.GOOOOOOOOO Dk 45, Kichuya anaifungia Simba bao la pili leo, la nane kwake akiunganisha pasi safi ya Mohamed Ibrahim
Dk 44, Rajab Ismail anaingia vizuri hapa, anapiga shuti hatari. Lakini linatoka kidogo tu nje ya lango la Simba
SUB Dk 42, Simba wanafanya mabadiliko, wanamtoa Mavugo na nafasi yake inachukuliwa na Ame Ali
Dk 40 sasa, bado mpira haujachangamka sana, Simba wana mashambulizi kadhaa lakini si makini katika umaliziaji na MWadui FC wanaonekana kutokuwa na mipango bora wanapofika kwenye lango la Simba
Naweka record sawa kwa mikia wao Yanga ananunua mechimkuu mbona povu sana
Of side trik ile mkuu,sikiliza wachambuzi,ifungwe mwadui uumie yanganaona jamaa wamepewa goal la offside,mbeleko fc
Najaribu kuwasaidia kuleta update na Safari yenu ya Baiskeli ya Miti.Mkuu.. Naona leo umejitahidi kudumu.. Nakumbuka gemu tuliyowatafuna Kagera, baada ya Muzamiru kuhamia kambani, ikawa mwisho wa updates. Leo naomba uendelee kutuhabarisha kila kinachojiri mpaka mpira utakapoisha.
Haha.. Mkuu, huyu mnyama anatupa raha sana.Maisha ni magumu ila Simba SC huwa wanafanya maisha yangu yanakuwa murua kabisa..
Ahsante Simba..
Nashukuru kwa kulitambua hilo.Mwaka huu dawa yenu kali..
Masuria fc na nyinyi mngewanunua wasifungweGame ya leo live imenunuliwa Na ushahidi upo tutaupeleka takukuru na tff. Pia yule kocha aliyebwaga manyanga anahusika katika kufanikisha huo ununuzi