Mwadui FC yamumunywa na Simba SC Kambarage, Mwadui 0-3 Simba

Mwadui FC yamumunywa na Simba SC Kambarage, Mwadui 0-3 Simba

Mohamedi Ibrahim na Ibrahim ajib hawa vijana burudani ngoja nisubiri ajib anijibu majibu yangu leo
 
GOOOOOOOOO Dk 45, Kichuya anaifungia Simba bao la pili leo, la nane kwake akiunganisha pasi safi ya Mohamed Ibrahim

Dk 44, Rajab Ismail anaingia vizuri hapa, anapiga shuti hatari. Lakini linatoka kidogo tu nje ya lango la Simba

SUB Dk 42, Simba wanafanya mabadiliko, wanamtoa Mavugo na nafasi yake inachukuliwa na Ame Ali

Dk 40 sasa, bado mpira haujachangamka sana, Simba wana mashambulizi kadhaa lakini si makini katika umaliziaji na MWadui FC wanaonekana kutokuwa na mipango bora wanapofika kwenye lango la Simba
Mkuu.. Naona leo umejitahidi kudumu.. Nakumbuka gemu tuliyowatafuna Kagera, baada ya Muzamiru kuhamia kambani, ikawa mwisho wa updates. Leo naomba uendelee kutuhabarisha kila kinachojiri mpaka mpira utakapoisha.
 
Najaribu kuwasaidia kuleta update na Safari yenu ya Baiskeli ya Miti.
 
Game ya leo live imenunuliwa Na ushahidi upo tutaupeleka takukuru na tff. Pia yule kocha aliyebwaga manyanga anahusika katika kufanikisha huo ununuzi
 
Back
Top Bottom