Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
ndio almanusra plujimu apande Qatar Airways waziri wa mambo ya ndani akafanya yakeUnataka kusema lile goli linaloweza kufungwa kila baada ya miaka 10,
Kwikwikwi .Game ya leo live imenunuliwa Na ushahidi upo tutaupeleka takukuru na tff. Pia yule kocha aliyebwaga manyanga anahusika katika kufanikisha huo ununuzi
Hatuna haraka na mbio zenu za sakafuni. Simba ya Tanzania ni Kama Arsenal England. Msimu mzima mnakata viuno halafu Mimba anakuja kutia MwingineMasuria fc na nyinyi mngewanunua wasifungwe
Matokeo?Kipindi cha pili kinaanza,makamanda wanajipanga
Huu ndio ushindi naouona tunaoenda kuupata leo.Tunge wabamiza 4hawa
Kuna wakati huwa nakuwa na mashaka na watu kama hao nao ni GT? Na ilikuwaje yupo hai hadi leo maana naona akili aliyo nayo haimuwezeshi hata kuvuka barabara... Labda huwa anavushwa cha msingi usibishane nae ndg..Nakuelezea tu kama ndugu wa kitanzania. Tulivyo lelewa kuna maneno huwez tamka ikiwa ulipata malez mema au ulikulia sehem nzuri. Naweza pia nisilaumu wazaz sabab wakat flan ni akili tu za mtu.anyway mi sikulaumu ndugu yangu.
Nashukuru sana.tuendelee kushabikia timu zetunza simba na yanga kwa mapenzi ya mpira na tusiache akili zetu chooni.