Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujajua kuwa msimu huu wamewekewa mazingira?? But wataishia nafasi ya piliSimba atashinda tu ata na mechi ya stand ratiba imewanyonga stand make wanacheza mechi kesho pwani,jumatatu wanageuza kisha jumatano mechi.
Ngoja namimi nisogeepo uwanjani
Umesahau na kuonga ma refa na wachezajiHujajua kuwa msimu huu wamewekewa mazingira?? But wataishia nafasi ya pili
Hahaha robo ya ngukwa koya umeyanao??Umesahau na kuonga ma refa na wachezaji
HahaaaaaHahaaaaa kotama koya
Mpira unadunda ndugu!Mkuu.. nipo mjini.. Hawa Mwadui ni wetu kabisa.. Hebu cheki takwimu hizi;
1. Sisi.
Idadi ya mechi tulizocheza: 11
Tumeshinda: 9
Tumefungwa: Hakuna
Sare: 2
Magoli tuliyofunga: 21
Magoli tuliyofungwa: 3 [ya halali 2]
Nafasi katika msimamo wa ligi: Kama Kawaida [Wa kwanza]
2. Wao.
Idadi ya mechi walizocheza: 11
Wameshinda: 3 tu
Wamegongwa: 4
Sare: 4
Magoli waliyofunga: 9 tu
Magoli waliyofungwa: 10.
Nafasi katika msimamo wa ligi: 11
Ndio Mkuu.. Kweli hudunda.. Ila hawa leo ni wetu.Mpira unadunda ndugu!
Mwadui nakupenda mpaka kumoyo!
Mtani una maanisha kuwa kweli unadunda ila sio kwenye maji? Kila la kheriNdio Mkuu.. Kweli hudunda.. Ila hawa leo ni wetu.
Dk 25, Mavugo a.k.a Zigo La Mavi anatoa krosi safi kabisa kwa Kichuya, lakini anaruka na kupiga kichwa juuuu