Mwafrika mwenzetu akielezea uzoefu wake katika Jeshi la Urusi wakipigana na Ukraine

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Waafrika twendeni kwa wingi kuwasaidia ndugu zetu Russia dhidi ya Mabeberu.

Ukrainian troops from the 63rd Mechanized Brigade captured a Ugandan man, Richard Akantoran, who said he was lured to Russia with promises of civilian work and then forced to sign a military contract under threat of death. He later fled Russian positions and surrendered near Lyman in Donetsk region. This is his message to fellow Africans.

Acha wakatane vichwa wao kwa wao, kwanini tusile ugali kwa amani baada ya kutusumbua kwa miaka mingi enzi za ukoloni.
 
Waafrika twendeni kwa wingi kuwasaidia ndugu zetu Russia dhidi ya Mabeberu.

Ukrainian troops from the 63rd Mechanized Brigade captured a Ugandan man, Richard Akantoran, who said he was lured to Russia with promises of civilian work and then forced to sign a military contract under threat of death. He later fled Russian positions and surrendered near Lyman in Donetsk region. This is his message to fellow Africans.
Kila upande unatumia mamluki kwenye hiyo vita .
 
Kuna documentary moja ya BBC niliangalia kuna Dada mmoja maarufu huko Russia ndio anatumika kuwasiliana na hawa mamluki na anajirekodi video akiahidi ahadi lukuki kwa niaba ya serikali ila wakishafika ndio wagundua wameingia chaka
 
Russia angeachana na hivyo vita ingemsaidia sana lkn kadri atakavyozidi kuvikomalia ndo uchumi wake utakavyozidi kuporomoka.
Wew taahira hata kesho hujui utakula nini ndo unaishaur Urusi kuhusu uchumi, wakat kodi ya 25k tu hapo gongo la mboto inakutoa jasho
 
Kuna documentary moja ya BBC niliangalia kuna Dada mmoja maarufu huko Russia ndio anatumika kuwasiliana na hawa mamluki na anajirekodi video akiahidi ahadi lukuki kwa niaba ya serikali ila wakishafika ndio wagundua wameingia chaka
BBC ndo source 😄😄😄
 
Waafrika twendeni kwa wingi kuwasaidia ndugu zetu Russia dhidi ya Mabeberu.

Ukrainian troops from the 63rd Mechanized Brigade captured a Ugandan man, Richard Akantoran, who said he was lured to Russia with promises of civilian work and then forced to sign a military contract under threat of death. He later fled Russian positions and surrendered near Lyman in Donetsk region. This is his message to fellow Africans.
Russia sasa ni mwaka wa 4 wameshindwa kuiteka au kuishinda Ukraine na ndiyo maana wanawatumia Mamluki kutoka nchi masikini kama chambord.

Majeshi ya Ukraine hawalei kenge wanaua yeyote anayeingia kwenye uwanja wa mapambano.

Wakenya na watanzania wengi wanafia Ukraine kwa tamaa na kudanganywa na Warusi kuwa kuna kazi za kufanya wakifika huko huongizwa Jeshini kwa nguvu na kupelekwa Ukraine kupigana kama chambo kisha hufia huko na miili yao hutelekezwa porini!!
 
Attachments

  • f2d58c84bb757faaad88c1fc264088ca.mp4
    6.9 MB
BBC ndo source 😄😄😄
Ulivyo zuzu utatetea ujinga kwa kushabikia Warusi ambao kwa miaka 4 wameshindwa kuiteka Ukraine wala tu kuishinda kwenye uwanja wa mapambano.

Russia na putin wao wanawatumia watu masikini wakafe badala yao baada ya wao kuuwawa kwa maelfu sasa wamawatumia waafrika Mabumunda kama wewe yakafe kwa niaba ya warusi!!
 
Wanalipwa au hawalipwi?
 
Russia sasa ni mwaka wa 4 wameshindwa kuiteka au kuishinda Ukraine na ndiyo maana wanawatumia Mamluki kutoka nchi masikini kama chambord.

Majeshi ya Ukraine hawalei kenge wanaua yeyote anayeingia kwenye uwanja wa mapambano.

Wakenya na watanzania wengi wanafia Ukraine kwa tamaa na kudanganywa na Warusi kuwa kuna kazi za kufanya wakifika huko huongizwa Jeshini kwa nguvu na kupelekwa Ukraine kupigana kama chambo kisha hufia huko na miili yao hutelekezwa porini!!

UKUBWA WA RUSSIA NI WA PROPAGANDA ZAIDI KULIKO UHALISIA. UKRAINE INAWASUMBUA HIVYO? MWAKA WA 4 HUU. WALISEMA NI SIKU 3 MPAKA 7 NOW 4 YEARS
 
Mwaka wa 4 huu supa-pawa Urusi bado yupo vitani.

Majeshi ya Soviet ya Stalin(Red army) yalitumia miaka 4 kumshinda Hitler na kuiteka Berlin (1941-1945)....

Majeshi ya Putin bado wanapambana miaka 4 (2022-2026) kuiteka Donbas.

TUJITEGEMEE Gagnija
 
Russia na Putin wapumbavu sana
 
Wew taahira hata kesho hujui utakula nini ndo unaishaur Urusi kuhusu uchumi, wakat kodi ya 25k tu hapo gongo la mboto inakutoa jasho
nakukumbusha russia siyo waislam hawautambui uislam, ili uwe rais wa russia ni lazma uwe mkristo wa dhehebu la orthodox kamata hii kama ulikuwa hujui.
 
Si kweli kuwa lazima uwe muislam. Russia hawana ubaguzi wa kidini. Chechnya ni sehemu ya Shirikisho la Russia na Kuna waislamu wetu raia wa Russia.
====
Chechnya is a semi-autonomous federal republic within the Russian Federation (separatists regard it as an independent republic). Since 2007, the government has been led by President Ramzan Kadyrov, named to the post by Russian President Vladimir Putin to replace Alu Alkhanov.

The vast majority of Chechens are Muslims and live in Chechnya.
 
Majeshi ya Soviet ya Stalin(Red army) yalitumia miaka 4 kumshinda Hitler na kuiteka Berlin (1941-1945)....

Majeshi ya Putin bado wanapambana miaka 4 (2022-2026) kuiteka Donbas.
1. Vita ya 1941-1945 ilipiganwa kwa ushirika wa Soviet na majeshi ya Ulaya magharibi na Marekani huku Russian ikitoa mchango mkubwa sana.

2. Hii ya 2022-2026 si vita bali ni Operesheni maalumu ya kivita (SMO) dhidi ya Jeshi la Ukraine linalosaidiwa Kila kitu kuanzia silaha zao zote nzito nzito hadi hela ya chai na Majeshi ya NATO na nchi vibaraka wa Marekani na UK. Na Russia anafanya Operesheni hii kwa tahadhari na huruma kwa sababu Ukraine Kuna Ndugu zake. Akitangaza vita Rasmi muda utapungua sana wa kukamilisha malengo ya kijeshi ya Russia.
 
Hakuna Operation ya kudu I miaka 4 maana ya Operation ni kitu cha muda tu kinaisha. Feb 24,2022 Putin alipovamia Ukraine alijua a Tatu is masaa 72 tu na atakuwa ameiteka Ukraine yote lakini baada ya kuona mambo yamekuwa magumu kwake alishindwa kubadirisha jina la hiyo Operation kwa aibu Ali endelea kupita SMO wakati si kweli.

Russia ni Supapawa wa MICHONGO pamoja na yeye kusaidiwa na China,Afrika kusini,Iran,Korea kaskazini na nchi nyingine nyingi tu ameshindwa kuwashinda wa Ukraine amebaki kubwabwaja kuzilaumu nchi za magharibi kwa kuisaidia Ukraine na kama ni hivyo mbona yeye naye anasaidiwa kijeshi na nchi nyingi tu.?

Ifikie hatua Putin aseme ukweli tu kuwa vita hiyo imemshinda maana Ana Tumia Mamluki kutoka nchi masikini za kiafrika kwa kuwalaghai kuwa kuna kazi za kiraia wakifika huko hulazimishwa kwa mtupu wa bunduki wajiunge na majeshi ya Urusi kisha hupelekwa mstari wa mbele kupigana na majeshi ya Ukraine ambako huo Shia kuwa dhambi na kuuwawa.

Kwa taarifa yako tu Putin hawezi kuishinda Ukraine pamoja na u Supapawa wake wa MICHONGO!!! Supapawa gani anapigana miaka 4 bila kushinda vita hiyo?
 
Back
Top Bottom