Mwafrika mwenzetu akielezea uzoefu wake katika Jeshi la Urusi wakipigana na Ukraine

Vita ya 1941-1945 ilipiganwa kwa ushirika wa Soviet na majeshi ya Ulaya magharibi na Marekani huku Russian ikitoa mchango mkubwa sana
Ina maana Putin anakwama sababu Ulaya magharibi na Marekani hawana ushirika nae?..
Hii ya 2022-2026 si vita bali ni Operesheni maalumu ya kivita (SMO) dhidi ya Jeshi la Ukraine linalosaidiwa Kila kitu kuanzia silaha zao zote nzito nzito hadi hela ya chai na Majeshi ya NATO na nchi vibaraka wa Marekani na UK
SMO inachukua miaka 4?...mpaka mobilization za kutosha kwenu bado hiyo ni SMO?..

Russia anafanya Operesheni hii kwa tahadhari na huruma kwa sababu Ukraine Kuna Ndugu zake. Akitangaza vita Rasmi muda utapungua sana wa kukamilisha malengo ya kijeshi ya Russia.
Huruma tena?....angekua na hiyo huruma hii vita hata isingeanzishwa?......
Hii ni vita rasmi hata Putin alikiri hilo.
 
kamata hii ili uwe rais wa urusi ni lazma uwe mu orthodox
 
SMO inachukua miaka 4?...mpaka mobilization za kutosha kwenu bado hiyo ni SMO?..
Kama NaTO wamefanya SMO miaka 20 na kisha kuondoka kwa Aibu Afghanistan nini kwa operation ya miaka minne?
 
Kama NaTO wamefanya SMO miaka 20 na kisha kuondoka kwa Aibu Afghanistan nini kwa operation ya miaka minne?
Acha ujinga Afghanistan haikuwa NATO, hata hivyo marekani walikuwa huko kama watawala na walikuwa wanabadirisha Marais kama kawaida hawakuwa huko kwa miaka yote vitani.

Na ndiyo maana hata wakati wanatoka waliwaachia vifaa vingi sana vya kijeshi zikiwemo Ndega,vifaru mizinga na mabomu aina mbalimbali.

Ndipo uelewe hawakuwa vitani huko walikuwa watawala kinyumo na Bwana wenu Putin miaka 4 askari wake wanapukutika kama nzige kila siku mpaka anatumia waafrika weusi wakafe kwa ajili yao.

Kwa taarifa yako huko Ukraine ni kaburi la askari wa Russia na mamluki wanaotumwa na putin.

Hiyo Dhana ya Super power ni bure kabisa kwa mrusi kashindwa kuimaliza vita hiyo!!
 
Hii sasa ndo tunaita siasa classic πŸ˜‚
 
Hii sasa ndo tunaita siasa classic πŸ˜‚
Kwa kuwa umekumbatia sana kiwango chako cha uelewa, na pia nikiendelea kuwaona WA maana sana wanaokataa kukualika kufikiri nao kwenye mabox Yao walipo, wewe ukiwa Nje mabox hayo, Mimi nani nipinge kuona "uclassic wa Siasa' uliotaja kwenye bandiko hilo?πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…