Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu naona mimi kwa ulichoandikaCheck hiyo mifuko ya rambo..!! Noma noma noma aibu flan naona mimi 😅😅 alipanda na hicho chakula au??
Aliwezaje kupita kwenye scanner na hiyo michuzi 😂😂😂
Wanawake wana upendo sana. Hii ni tabia ya wanawake wale wife materials na watu wa kuishi kwa mipango. Wengi hawapend kula kula tu mavyakula toka popote, wana enjoy sana kuwa real. Wana furah kuhudumia waume zao kwa mikono yao
Hadi kula unaona aibu. Watu wana maisha ya kuigiza.Mkuu hakuna kitu kizuri kama kuwa muafrica ni vile tu tunajipuuzia😅
Kabisa meku ,yani mimi huwa sijivungi hata Airport natafuna zangu samaki wa kukaanga nikiamua😁😁Hadi kula unaona aibu. Watu wana maisha ya kuigiza.
You are born alone, going to die alone...must live to the fulliest
Sisi tumetoka familia zenye chakula kingi, tunaona kawaidaKabisa meku ,yani mimi huwa sijivungi hata Airport natafuna zangu samaki wa kukaanga nikiamua😁😁
Mangi kwel rombo mpo vizuri kuna siku nilikuja ,kuna chakula kinaitwa kena nilikula nikafurahi mno,na mbege kama bohora mbili siku yangu ikakaa poa sana😁Sisi tumetoka familia zenue chakula kingi, tunaona kawaida
Watu waliozaliwa kwenye ukosefu wa chakula lazima ajifiche fiche.
Unasafiri 10 hour's ndani ya ndege usile. Tikienda Rombo huko tunakula mpaka tinavimbiwa.
At their age nawaunga mkono. Kula chakula mlicho jiandalia wenyewe bila vikorombwezo vingi. A secret to living longerSafari njema wazee
liView attachment 3129757
Nyuzi zako hizi😁😁Apo cha ajabu ni kudumisha uafrica😌😌kaz kwel kwel
kwasababu ni mwafrica😆😆 siwezi kosaNyuzi zako hizi😁😁
No nilikosea niliku tag uzi wa mizagamuo 😅😅😅😅😅😅kwasababu ni mwafrica😆😆 siwezi kosa
Mxiuuuu 🤣🤣🤣🤣🤣No nikosea niliku tag uzi wa mizagamuo 😅😅😅😅😅😅