Mwafrika ni Mwafrika tu 🤣🤣

Mwafrika ni Mwafrika tu 🤣🤣

upumbavu wa kiwango cha lami. kama ambavyo wao wanataka heshima basi pia wajifunze kuheshimu rules za ndege. ni tabia za ulafi wa chakula. utakufa masaa 10 ya safari ukala chakula kinachotolewa mpaka ubebe ma vyakula.
Ivi unawajua waha vizuri mkuu? Subiri SGR ifike kigoma na makatazo yao ya kubeba misosi uone kama haijaenda empty
 
Check hiyo mifuko ya rambo..!! Noma noma noma aibu flan naona mimi 😅😅 alipanda na hicho chakula au??
Aliwezaje kupita kwenye scanner na hiyo michuzi 😂😂😂
Sijui wamepita nayo vipi kwenye ukaguzi
Au wako Nigeria hawa maana kule unaweza kupanda na mbuzi kwenye ndege hamna wa kukuhoji
 
Unafikiri kila mtu angejipikia akabeba chakula humo kwenye ndege ingekuwaje?

Issue sio uzungu au uafrica issue ni taratibu na ustaarabu uliowekwa na kuheshimu wengine.
 
Nimechekaaa saaa halafu nikafurahi 😁😁😁1. Hao ni watu wazima aka wazazi na hapo kuna mambo ya kuzingatia kuwahusu na wao kubeba chakula kwenye ndege.

2. Nilitamani kujua kwanza aina ya hiyo ndege, niwape heko halafu niwatafute kwenye safari zangu zijazo maana na mie ni mama some food ♥😋❤😍 katika soulfood 🥰.

3. Kwa mtizamo wangu ni wanigeria, aina ya hizo mboga, japo inaweza kuwa sio maana pia wangekuwa na fufu badala ya wali.

4. Nafahamu kwa uchache, wanaosafiri na watoto wadogo ambao wanakula mlo maalum kuna namna wanaruhusiwa kupita na vyakula kwenye scanner za Airport sababu ujielezee tuu kuwa mtoto anashida hii na hatiweza kula mlo wowote zaidi ya huo uliouandaa toka nyumbani. Na kabla ya kuruhusiwa mzazi utaambiwa onja kijiko kimoja kujua usalama wa chakula, imeisha.

5. Yawezekana hao wazee wameomba kupita na chakula binafsi tola nyumbani sababu aidha wana mlo spesho ambao ndege hauwezi kuuandaa na hawawezi kaa masaa kadhaa bila kula kitu kwani inaweza hatarisha afya ya msafiri. Ukizingatia ni mtu mzima au mtoto huwa wanaruhusu sema wanakwambia kiwe kimefunikwa vizuri kisimwagike.

Nimewafurahia kwakweli, na walijiandaa na sahani zao, hureee 😋😋😋.
 
Unafikiri kila mtu angejipikia akabeba chakula humo kwenye ndege ingekuwaje?

Issue sio uzungu au uafrica issue ni taratibu na ustaarabu uliowekwa na kuheshimu wengine.
Ndege zingeanguka sana maana weight ingezidi kupita viwango
 
Mkuu hakuna kitu kizuri kama kuwa muafrica ni vile tu tunajipuuzia😅
"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Ahaha kena kinapikwa na maziwa ya mtindi. Kuna vyakula vingi tu, ngararimo, ngandi, mtori, makafi, machalari, ndizi za maharage, mtango, rembwe, moviro. .

Trust me in Tanzania hakuna kabila lina vyakula vingi vya asili kama uchagani. .

Nimecheka hapo mbege bohora mbili. Kuwa makini na pombe nyingine, kuna siku nilipoga pombe ya maharage nusu nife. Acha kabisa
Kuna mzee namfahamu yeye alikua akienda kwenye hizi hoteli za kitalii.

Familia wakiagiza vyakula vingine yeye anatoa hot pot yake iliyojaa loshoro anaipiga wala hata hajali.
 
Back
Top Bottom