min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Kabisa mangiIkitokea nimepanda December nitakushtua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mangiIkitokea nimepanda December nitakushtua
Dada yangu anaolewa niko Riverside hapa tunaingia ukumbini saa 12 brokumbe upo
Picha ya zamani Sana we boyaSafari njema wazee
View attachment 3129757
kumbe anaenda kupigwa pipe leo mkuu hongera umepata shemejiDada yangu anaolewa niko Riverside hapa tunaingia ukumbini saa 12 bro
Dada yako huwa anapigwa mtwangio. Acha ujingakumbe anaenda kupigwa pipe leo mkuu hongera umepata shemeji
Ivi unawajua waha vizuri mkuu? Subiri SGR ifike kigoma na makatazo yao ya kubeba misosi uone kama haijaenda emptyupumbavu wa kiwango cha lami. kama ambavyo wao wanataka heshima basi pia wajifunze kuheshimu rules za ndege. ni tabia za ulafi wa chakula. utakufa masaa 10 ya safari ukala chakula kinachotolewa mpaka ubebe ma vyakula.
Ukoo mzima, kijiji kizima na nchi nzima wanakotoka lazima wawatambue wao ni naniSafari njema wazee
View attachment 3129757
Hizo mboga za majani kwenye rambo alipita nazo vipi kwenye ukaguziSafari njema wazee
View attachment 3129757
Sijui wamepita nayo vipi kwenye ukaguziCheck hiyo mifuko ya rambo..!! Noma noma noma aibu flan naona mimi 😅😅 alipanda na hicho chakula au??
Aliwezaje kupita kwenye scanner na hiyo michuzi 😂😂😂
Ndege zingeanguka sana maana weight ingezidi kupita viwangoUnafikiri kila mtu angejipikia akabeba chakula humo kwenye ndege ingekuwaje?
Issue sio uzungu au uafrica issue ni taratibu na ustaarabu uliowekwa na kuheshimu wengine.
"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."Mkuu hakuna kitu kizuri kama kuwa muafrica ni vile tu tunajipuuzia😅
Kuna mzee namfahamu yeye alikua akienda kwenye hizi hoteli za kitalii.Ahaha kena kinapikwa na maziwa ya mtindi. Kuna vyakula vingi tu, ngararimo, ngandi, mtori, makafi, machalari, ndizi za maharage, mtango, rembwe, moviro. .
Trust me in Tanzania hakuna kabila lina vyakula vingi vya asili kama uchagani. .
Nimecheka hapo mbege bohora mbili. Kuwa makini na pombe nyingine, kuna siku nilipoga pombe ya maharage nusu nife. Acha kabisa
Kula ni neema kubwa sanaKuna mzee namfahamu yeye alikua akienda kwenye hizi hoteli za kitalii.
Familia wakiagiza vyakula vingine yeye anatoa hot pot yake iliyojaa loshoro anaipiga wala hata hajali.