Mwafrika ni Mwafrika tu 🤣🤣

Mwafrika ni Mwafrika tu 🤣🤣

hahaha
Screenshot_20240717-193448~2.jpg
 
Mangi kwel rombo mpo vizuri kuna siku nilikuja ,kuna chakula kinaitwa kena nilikula nikafurahi mno,na mbege kama bohora mbili siku yangu ikakaa poa sana😁
Ahaha kena kinapikwa na maziwa ya mtindi. Kuna vyakula vingi tu, ngararimo, ngandi, mtori, makafi, machalari, ndizi za maharage, mtango, rembwe, moviro. .

Trust me in Tanzania hakuna kabila lina vyakula vingi vya asili kama uchagani. .

Nimecheka hapo mbege bohora mbili. Kuwa makini na pombe nyingine, kuna siku nilipoga pombe ya maharage nusu nife. Acha kabisa
 
Mimi nina asili ya kibosho na machame ila rombo nimepapenda sana😅
 
upumbavu wa kiwango cha lami. kama ambavyo wao wanataka heshima basi pia wajifunze kuheshimu rules za ndege. ni tabia za ulafi wa chakula. utakufa masaa 10 ya safari ukala chakula kinachotolewa mpaka ubebe ma vyakula.
Hahahaahahha daaaah
 
Mimi hapo sioni tatizo, hiyo aibu ni ya nini? Maajabu sana mzungu akitembea na kandambili mjini Posta watanzania wanaona kawaida ila mtanzania akivaa kandambili hapo hapo ataonekana mshamba au mchafu
 
Back
Top Bottom