Mwafrika ni Mwafrika tu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Check hiyo mifuko ya rambo..!! Noma noma noma aibu flan naona mimi ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… alipanda na hicho chakula au??
Aliwezaje kupita kwenye scanner na hiyo michuzi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Wanawake wana upendo sana. Hii ni tabia ya wanawake wale wife materials na watu wa kuishi kwa mipango. Wengi hawapend kula kula tu mavyakula toka popote, wana enjoy sana kuwa real. Wana furah kuhudumia waume zao kwa mikono yao
 
upumbavu wa kiwango cha lami. kama ambavyo wao wanataka heshima basi pia wajifunze kuheshimu rules za ndege. ni tabia za ulafi wa chakula. utakufa masaa 10 ya safari ukala chakula kinachotolewa mpaka ubebe ma vyakula.
 
Aibu naona mimi kwa ulichoandika
 
Kabisa meku ,yani mimi huwa sijivungi hata Airport natafuna zangu samaki wa kukaanga nikiamua๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Sisi tumetoka familia zenye chakula kingi, tunaona kawaida

Watu waliozaliwa kwenye ukosefu wa chakula lazima ajifiche fiche.

Unasafiri 10 hour's ndani ya ndege usile. Tukienda Rombo huko tunakula mpaka tinavimbiwa.
 
Sisi tumetoka familia zenue chakula kingi, tunaona kawaida

Watu waliozaliwa kwenye ukosefu wa chakula lazima ajifiche fiche.

Unasafiri 10 hour's ndani ya ndege usile. Tikienda Rombo huko tunakula mpaka tinavimbiwa.
Mangi kwel rombo mpo vizuri kuna siku nilikuja ,kuna chakula kinaitwa kena nilikula nikafurahi mno,na mbege kama bohora mbili siku yangu ikakaa poa sana๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ