Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kwa hiyo mimi najionyesha onyesha siyo?
Hapana Pundit. Samahani kama umechukulia kihivyo. Mimi sitaki ugomvi wa Kiingereza na wewe ndugu yangu. Ni yule jamaa mwingine ajiitaye Nyama Hatari aka Njabu Ngabu ndio anapenda kujionyesha onyesha.