Mwafrika wa Kike umeniudhi sana na wenzako!!!

Mwafrika wa Kike umeniudhi sana na wenzako!!!

Status
Not open for further replies.
Jamani SteveD mmemsahau tangu Jumamosi simsikii shujaa huyu.
 
jionee mwenyewe mwafrika wa Kike pengine anachokifanya!!!!!!!!, weka na spika ili usikilize vizuri

http://www.youtube.com/watch?v=FZvOBQAUbVc
 
Too bad, I am still aiming for Dickensian!

You guys just had to kill the relevant subject matter with all this linguistic distractions and preoccupation huh?

No bad at all. This thread was meant to be as humorous as it has been, well, hitherto!
 
Msanii nusu ya robo ni I/8 sijakosea kwa manufaa ya wale wanaopenda namba!
Isije ikawa hawa anaowataja kitila wamepigwa pin ndo maana huoni comment zao.
Otherwise the discusion apa JF huwa nazipenda isipokuwa kuna watu wanaishiwa point na kung'ang'a na Unazi wa chama.
 
Kweli Mwafrika wa kike nimemiss sana.Plz come back dear.

Mzee Kichuguu nae amepotea sana,Mugongo mugongo,Kada Mpinzani nae siku nne haonekani.wakuu salute!

Btw: Masaka naona sasa unaelekea kutulia,endelea na tabia njema hivyo hivyo
 
Noted.. and appreciated. Can you elaborate..pedigree unayosema wewe .is it in relation to uzawa wake..au pedigree in terms of skills mix/competencies maana if the later is the case..then what will we be looking for?

Pedigree nikimaanisha ukoo.
 
Kuhani ukoo ni muhimu kuuangalia,moja ya vinachotofautisha Jamhuri na ufalme ni uwezo wa kikweli -sio geresha- wa watu wote kushiriki katika uongozi.Napata mashaka kuwa Jamhuri inayoruhusu familia mbili tu kupokezana madaraka inageuka kuwa si Jamhuri tena, ila ufalme/usultani unaogeresha watu kwamba ni Jamhuri.

Najua kuna hoja kwamba hata hawa watoto wa viongozi ni kati ya hao "watu wote" na wao wana haki ya kuwania nafasi hizi, sawa.Kuna tofauti ya mtoto mmoja wa kiongozi kufuata nyayo za baba katika siasa kama alivyofanya Karume Zanzibar, George Bush Marekani, Sukarno Indonesia au alivyofanya Cristina Fernandez kumpokea mumewe Argentina, na trend anayoisema Masaka ya kwamba akitoka Kikwete Hussein Mwinyi halafu aje tena Ridhiwani Kikwete. Utaona hapo nchi itakuwa imetekwa nyara na familia mbili tu na hatujui mikakati ya akitoka Ridhiwani wanamtaka nani, labda mtoto wa Hussen Mwinyi?

Ndiyo maana Jack Kennedy alipovujisha jina la Bobby Kennedy katika gazeti la New York Times watu wanaoelewa serikali inavyoweza kuharibiwa na undugu walikasirishwa na hilo.Kuongezea tusi kwenye donda Jack tayari alishaanza kumtumia Bobby kama mteuliwa wa rais katika kuwachuja wengine wakati yeye mwenyewe alikuwa bado hajateuliwa (kwa sababu tu ni kaka yake rais).Hili lilikuwa likiashiri utawala wa Jack Kennedy ulipokuwa unaenda kuhusu hili swala la undugunaizesheni.Alipotoka Jack Kennedy Wamarekani wamepiga marufuku rais kuwachagua ndugu zake wa karibu nafasi za juu serikalini.

Kwa hiyo kusema kwamba tusiangalie undugu kabisa hata kama tunatawaliwa kama milki ya Ganghes Khan itakuwa uhaini wa kisomi na matusi kwa Watanzania wengine, kwamba tunataka kuwa "politically correct" na kumpa kila mtu nafasi ya kuongoza mpaka tunasahau kuwa hiyo nafasi inaenda na opportunity cost, kwamba wakikaa kina Kikwete na Mwinyi tu maana yake wengine hawapati nafasi ya kuongoza, je ni kweli kwamba katika watu wote kina Kikwete na Mwinyi tu ndio watakuwa wanajua kuongoza?

Kwa hiyo utaona pointi yako ya kwamba tusiwazuie kwa sababu wao ni kina Kikwete na Mwinyi na tuwazuie kwa sababu hawana uwezo wa kuongoza kimahesabu inakuja kuungana na ile yangu ya kwamba haiwezekani kila siku ikawa Kikwete na Mwinyi tu, lazima kuwe na wengine.
 
... kwamba haiwezekani kila siku ikawa Kikwete na Mwinyi tu, lazima kuwe na wengine.

...ambao, tu, wana uwezo kuliko Hussein na Ridhiwani.

Nipe credentials zako, sitakuuliza Mamako nani.

Nataka kujua uwezo wako na sifa yako ya kikazi ya kuweza kuwa Rais. Sitaki ku consider pedigree ya mtu katika kum-pasisha au kum-felisha mgombea yoyote wa Urais. Weka pembeni pedigree. Nukta.
 
There are 10 kinds of people in the world. Those who understand binary and those who don't."

....what about the other 8....?
 
There are 10 kinds of people in the world. Those who understand binary and those who don't."

....what about the other 8....?

You obviously do not understand binary (or just pulling my leg?). 2 in binary (base 2) is written "10".So that was not actually "ten" it was "two" and in view of the binary reference anyone with the basic understanding of binary will read the sentence as "there are two kinds of people in the world....

Nimetegua kitendawili bila mji sasa.
 
...ambao, tu, wana uwezo kuliko Hussein na Ridhiwani.

Nipe credentials zako, sitakuuliza Mamako nani.

Nataka kujua uwezo wako na sifa yako ya kikazi ya kuweza kuwa Rais. Sitaki ku consider pedigree ya mtu katika kum-pasisha au kum-felisha mgombea yoyote wa Urais. Weka pembeni pedigree. Nukta.

Utopian ideologues tu ndiyo wanaweza kusema hivi.

In view of post # 131 that is.

There is a point when "political correctness" as propagated by do gooders, tree huggers and the oversized egos of moral puritans coupled with the abstracts of ideological elitism reaches a point of diminishing returns.

If you put too much stock in the theories of quantum physics you will attempt the possible but ridiculously improbable feat of walking through a brick wall.
 
You obviously do not understand binary (or just pulling my leg?). 2 in binary (base 2) is written "10".So that was not actually "ten" it was "two" and in view of the binary reference anyone with the basic understanding of binary will read the sentence as "there are two kinds of people in the world....

Nimetegua kitendawili bila mji sasa.

Come on man, you know good and well that I don't understand binary and that is why I asked. All you had to do was answer my question. The little smart comments were unnecessary. But thanks for explaining.
 
.......at last you can classify people according to their reasoning capacity....
 
.......at last you can classify people according to their reasoning capacity....

As opposed to which way used before reaching this triumphant finishing line?
 


Of course hii inaweza ikatolewa hapa baada ya muda na kuwekwa panapofaa-sijui ni wapi??!!

Lakini ukweli ni kwamba Mwafrika wa Kike ameniudhi sana kwa sababu haiwezekani yeye apotee kipindi hiki ambacho ni critical na taifa letu linapita katika majaribu mazito likwemo la uchawi huko bungeni. Kama bado anatafuta habari za Balali, namwomba aachane nazo kwa sababu hizo habari sasa hivi sio deal tena. Kama kawaida yetu watanzania hilo tumeshalisahau, na sasa tuna-deal na issue ya uchawi kule bungeni Dodoma.

Kwa hiyo dadangu rudi tafadhali tuje tushirikiane katika hili la uchawi, na ukichelewa utakuta hili nalo limeshaisha na tutakuwa tumeanza na lingine. Matokeo ya kupotea kwako ndiyo haya unaona vijana ambao ndio wanaanza ukada wa CCM, hawasikii chochote, wao wanasifia kila kitu hata uchawi. Hapa namuongelea huyu kijana wetu Mashaka ambaye amekuja kwa moto wa kifuu na kumshinda kwa mbali kabisa kada mpinzani kwa kutetea yasiyoteteeka na kuhalalisha yasiyohalalishika. Kama hutarudi hivi karibuni huyu kijana ataendelea kusumbua wengi; nimeona wazee wameshaanza kumrushia mawea makali lakini sidhani kama wataweza kumuweka sawa kabla hujarudi.


Ok, sasa na hawa wameenda wapi? Kwa nini wameogopa kushiriki kwenye hili la kujadili uchawi kule bungeni? hapa nawaongelea ndugu zetu: Game Theory, Madela-wa Madilu na Kichuguu (huyu kapotea siku nyini sijui nini kimemsibu).

Mbaya zaidi Brazameni ndiyo kabisa kajificha wakati anajua kabisa kipindi kama hiki ndio kwanza tunahitaji sana commercial breaks zake na zile picha motomoto.

Na katika hizi siku mbili Nyani Ngabu kauchuna kabisa na hataki kutia neno kwenye hili sakata, au ndio umeshahitimisha kwamba ndivyo tulivyo.

Hebu acheni hizo, rudini hapa- haya mambo ndiyo kwanza yanaanza.

If this didn't make you smile, sorry but I am not to be blamed, I had forgotten that the weekend has actually just gone and we are at the beginning of the new week!

Kitila,

Samahani sana kama nimekuudhi kwa kutokuwepo kwenye topic ya uchawi wa Chenge. Mabox yalinizidia kidogo na nikapunguza kasi ya uchangiaji lakini nipo na ninasoma kila kinachoendelea hapa.
 
Hatimaye karudi Ladies and Gentlememen, overcaffeinated bots, Inter-Gallactic Klingons and all extra terrestrial creatures tuning in on the other ether-net courtesy of M.IB if you get my gist.

M_00MIB2FI.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom