Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kwa hiyo mimi najionyesha onyesha siyo?
Hapana Pundit. Samahani kama umechukulia kihivyo. Mimi sitaki ugomvi wa Kiingereza na wewe ndugu yangu. Ni yule jamaa mwingine ajiitaye Nyama Hatari aka Njabu Ngabu ndio anapenda kujionyesha onyesha.
Hapana Pundit. Samahani kama umechukulia kihivyo. Mimi sitaki ugomvi wa Kiingereza na wewe ndugu yangu. Ni yule jamaa mwingine ajiitaye Nyama Hatari aka Njabu Ngabu ndio anapenda kujionyesha onyesha.
Nimemrudishia mpira NN, nasubiri jibu Mama. Mimi nilishasema mara nyingi kuwa najifunza kiingereza ndiyo maana nataka kutumia kila wakati ninaopata kufanya mazoezi.
Hapana Pundit. Samahani kama umechukulia kihivyo. Mimi sitaki ugomvi wa Kiingereza na wewe ndugu yangu. Ni yule jamaa mwingine ajiitaye Nyama Hatari aka Njabu Ngabu ndio anapenda kujionyesha onyesha.
Nyani kwa kuuma na kupuliza!
he he heee heheheee, duh, salale. You made my day!
aparatchik.....you
Mzee wa bainariHuyu Don King sasa
Hapana Pundit. Samahani kama umechukulia kihivyo. Mimi sitaki ugomvi wa Kiingereza na wewe ndugu yangu. Ni yule jamaa mwingine ajiitaye Nyama Hatari aka Njabu Ngabu ndio anapenda kujionyesha onyesha.
...naona jina lako jipya ni "jogajoga," yaani mtu mwoga kama kunguru wa zenji!! simama kama mwanaume wewe, acha ugoigoi...ooooho, mara watu wataomba visivyoombwa!! je utatoa, kwasababu utaki ugomvi!!?? Nyangu Ngabu, worst person of the dayyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy.
Nyani hata mimi ni muumini wa Freud kwani kama tungefuata anayosema tusingeshupalia habari za Uchawi wa Chenge!Sigmund Freud.....
Kabla hujajadili wanaoomba visivyoombwa...Kuna wale wanaopenda kutoa tuuu!...naona jina lako jipya ni "jogajoga," yaani mtu mwoga kama kunguru wa zenji!! simama kama mwanaume wewe, acha ugoigoi...ooooho, mara watu wataomba visivyoombwa!! je utatoa, kwasababu utaki ugomvi!!?? Nyangu Ngabu, worst person of the dayyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy.
NO...Kuna mwanadada mwingine mwenye sifa kama za kimwafrika wa kike za kuwa mtu wa watu..Ambaye yuko matatizoni na ujumbe pale chini unaomba kupeleka habari popote..Sasa kuna shida gani hapo?Mushi unataka kutuambia Tabitha ndio mwafrika wa kike?