Mwafrika wa Kike umeniudhi sana na wenzako!!!

Status
Not open for further replies.
NO...Kuna mwanadada mwingine mwenye sifa kama za kimwafrika wa kike za kuwa mtu wa watu..Ambaye yuko matatizoni na ujumbe pale chini unaomba kupeleka habari popote..Sasa kuna shida gani hapo?
Tafadhali usianze SPIN hapa!

spin ya nini tena, mbona uko so insecure> kila wakati unakuwa defensive?
 
Sasa Mama huoni ni ujumbe nimeufikisha kwasababu na yeye Tabitha Magoti si pia ni mwafrika wa kike?
Ama ni wa kiume?
Huyo Mwafrika wa Kike unayemjua weye ni yupi huyo?
Waafrikaz wa kikez kwa wa kiumez si wako wengi tu?

sawa jamani namuombea Mungu hayo matatizo yaishe, kama ni maswala ya kisheria na yeye yuko right wanamzushia tu, yatakwisha soon maana huko marekani ndio kwenye rule of law, hawezi kuonewa.
 
spin ya nini tena, mbona uko so insecure> kila wakati unakuwa defensive?
Nakwambia Mama Tabitha magoti ni mwanamama ambaye ni MWAFRIKA WA KIKE ALIYEPATA MATATIZO YENYE KUTIA MASHAKA!
Na wewe ni mwafrika wa kiume?
Naomba tuache haya malumbano ya kitoto...Wote tunamsubiri MWK aje tuendeleze mapambano!
Hakuna anayejua ni mambo gani anayapitia kwasasa!
Tunamtakia kila la kheri na tunamsubiri hapa JF.
Na pia tunamwomba atujulishe kama yuko sawa kwani kwa mara ya mwisho alikuwa bado anaendelea na uchunguzi wa kifo cha Ballali!
 

Hivi unajua malumbano? na malumbano ya kitoto unayajua au unasema tu. mwafrika yeyote wa kike akiwa na matatizo anaweza saidiwa tu awe mwana Jf or not, na kuuliza si ujinga. Unachanganya mambo, je ukianzisha thread ili Tabitha apate msaada, hapa anatafutwa mwafrika wa kike wa JF.
 
Ok...Nawashukuru pia wale ambao wana sympathise na BOTH MWK na mama Tabitha.
JF MBELE!
 


MWK amekwenda kuchimba data baada ya kumpa JK mwezi moja akirudi hapa patakuwa hapatoshi vuta subira Kitila .....
 
mwafrika wa ike alitoweka alipoulizwa mwezi una siku ngapi? Siku chache kabla hajatoweka alikuwa anamwaga pumba tupu humu. Inawezekana kaenda kwa "therapist".
 
Nasikia MWK kaonekana na vibuyu vyake akimwagia maji makaburini!...
Kisha toto toto la kisawasawa!..lakini camera zilikuwa zimezimwa..
 
mwafrika wa ike alitoweka alipoulizwa mwezi una siku ngapi? Siku chache kabla hajatoweka alikuwa anamwaga pumba tupu humu. Inawezekana kaenda kwa "therapist".

Hivi mkuu hili swali lilijibiwa vipi?

Wewe ulisema mwezi una siku 30 na MWK akasema mwezi una siku 28. Hivi nini kiliamuliwa hapa?
 
Nasikia MWK kaonekana na vibuyu vyake akimwagia maji makaburini!...
Kisha toto toto la kisawasawa!..lakini camera zilikuwa zimezimwa..

Akitoka huko makaburini atakutana na skwadi nzima la ccm linamsubiri tu hapa JF. Hakatishi mtu mwaka huu. Afadhali tu aishie huko huko aliko.
 
MWAFRIKA WA KIKE ni mwanamke ambaye mwanaume yoyote wa shoka would like to keep her in the house. Sitashangaa kama kuna mjanja huko US ameamua kumuweka ndan. I am jealous of him, he must be enjoying. That was a little joke of mine. But i miss her too. Tuombe mungu tu wasijekua wamemfikia!
 
Na Wana CCM imara tupo humu tunamsubiri, ana bahati ile mada yake ya kutaka JMK (Muungwana) ajiuzulu nilikuwa sipo....kwi kwi kwii
 

Chiruga chako kigumu kama cha Nkapa! Masaki katoka kapa!
 
I protest on the basis of the iniquity of the inequitable equation.

Pundit mkuu naona unatuzengua sasa.....ngoja nitoke kidogo nikamuite mtaalamu wangu wa lugha aje achambue hii lugha yako. Inaonekana hauna gramatical flow nzuri ya lugha.
 
Pundit mkuu naona unatuzengua sasa.....ngoja nitoke kidogo nikamuite mtaalamu wangu wa lugha aje achambue hii lugha yako. Inaonekana hauna gramatical flow nzuri ya lugha.

usijali, ndio anajifunza lugha na hapa ndio uwanja wake wa mazoezi.
 

Nadhani ni vizuri tukawa tunatafutana kwa PMs kuliko kujaza MA-THREAD mengi ambayo yanatatiza usomaji.
 
Nadhani ni vizuri tukawa tunatafutana kwa PMs kuliko kujaza MA-THREAD mengi ambayo yanatatiza usomaji.
Kamanda bandiko hili lina umuhimu wake tena mkubwa tu... Matumizi ya PM yanajulikana na wajumbe huitumia hiyo huduma pasipo shaka yoyote...
 
hapa sasa mmh kwi kwi kwi twendelee na ufisadi wa ccm mpaka Masaka ajiuzuru
 

Noted.. and appreciated. Can you elaborate..pedigree unayosema wewe .is it in relation to uzawa wake..au pedigree in terms of skills mix/competencies maana if the later is the case..then what will we be looking for?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…