Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Ahaaa hiyo ni kweli kabisa
Mwandambo atawaelezea wajukuu zake kuwa yeye anakata miuno kumzidi Fally Ipupa na Ray C.
Wajukuu wakimwambia tuzo ya alichokifanya iko wapi atasema, waliokuwa wanatoa tuzo hawakuwa fair
Na hao watoto watakaomwamini huo uongo watakuwa wajinga.
Una uhakika atafika uzeeni ?
Mafwele na Murilo wako likizo?Hamjambo!
Mimi nawajua waafrika wengi wakizeeka stori zao. Kamba nyingi sana.
Kama namwona Mwaipopo akiwa mzee amekaa na wajukuu zake na watoto wa mtaani kwake akiwahadithia enzi zake.
Zaidi ni kuwa zama hizo atatumia ushahidi wa video zilizopo mtandaoni jinsi alivyoongoza kikosi cha sijui chui weusi, sijui mbwa mwitu.
Soma Sheikh Mwaipopo: Tuna kikundi cha hatari "chui weusi" cha kupambana na waandamanaji. Kama Ukitaka ulemavu wajaribu wao
Jinsi walivyoendesha operation ikafanikiwa.
Mwaipopo katika stori zake na wajukuu atasema baada ya kuona Maandamno ya MO29 jinsi yalivyo na madhara, akaona hatakubali. Na uwezo wake mkubwa wa kikomandoo(hapa lazima awadanganye kwamba ukomandooo wake aliupata Urusi).
Wajukuu zake watamuamini hasa ukizingatia anaushahidi wa video.
Mwaipopo atasema, hakuna watu waliokuwa wanamuogopa kama Heche, Lema, na wanaharakati na ndio maana walishindwa kuingiza watu barabarani.
Kama mjuavyo stori za Babu na wajukuu. Mwaipopo anakitu cha kuwahadithia wajukuu zake. Hata kama kitakuwa na chumvi nyingi.
Sijajua upande wa Mwandambo, hakika sijajua.
Ijumaa Kareem.
Nawatakia maandalizi Mema ya Sabato.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Ebwaeeeh! Yule Mzee anakatika aisee πMaskini Mwandambo
Makebo yakeHamjambo!

Mafwele na Murilo wako likizo?
Ha ha ha !Likizo ya kazi uliyowapa? Au likizo gani?
Ha ha ha !
Kwani mie Samia?
View attachment 3636020 ... hata Kishimbe wa Kishimbe anajua hivyo! π
Kitendo cha kumu overate Mwaipopo, shekhe FEKI wa Mwakaleli , kinaeleza uwezo wako kiakili.Hamjambo!
Mimi nawajua waafrika wengi wakizeeka stori zao. Kamba nyingi sana.
Kama namwona Mwaipopo akiwa mzee amekaa na wajukuu zake na watoto wa mtaani kwake akiwahadithia enzi zake.
Zaidi ni kuwa zama hizo atatumia ushahidi wa video zilizopo mtandaoni jinsi alivyoongoza kikosi cha sijui chui weusi, sijui mbwa mwitu.
Soma Sheikh Mwaipopo: Tuna kikundi cha hatari "chui weusi" cha kupambana na waandamanaji. Kama Ukitaka ulemavu wajaribu wao
Jinsi walivyoendesha operation ikafanikiwa.
Mwaipopo katika stori zake na wajukuu atasema baada ya kuona Maandamno ya MO29 jinsi yalivyo na madhara, akaona hatakubali. Na uwezo wake mkubwa wa kikomandoo(hapa lazima awadanganye kwamba ukomandooo wake aliupata Urusi).
Wajukuu zake watamuamini hasa ukizingatia anaushahidi wa video.
Mwaipopo atasema, hakuna watu waliokuwa wanamuogopa kama Heche, Lema, na wanaharakati na ndio maana walishindwa kuingiza watu barabarani.
Kama mjuavyo stori za Babu na wajukuu. Mwaipopo anakitu cha kuwahadithia wajukuu zake. Hata kama kitakuwa na chumvi nyingi.
Sijajua upande wa Mwandambo, hakika sijajua.
Ijumaa Kareem.
Nawatakia maandalizi Mema ya Sabato.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
... kwamba atawaambia wajukuu wake kuwa pia na yeye alikuwa 'ASKARI KEA' kunako vita vya pili vya Dunia ! πAnajua Mwaipopo ndiye shujaa?