Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gagnija,Brother Mohamed, nafikiri heading ilitakiwa isomeke "...anaeleza..." badala ya anaemeza.
Huyu dada yuko wapi kwa sasa? Natamani kufanya naye mahojiano. Nimejaribu mara nyingi kumtafuta Rose Hamza Aziz kwa mahojiano bila mafanikio.
Gagnija,Anasema mama Maria alikuwa na shule huko Mtoni? Sijamwelewa vizuri hapo mwanzoni mwa video.
Gagnija,Anasema mama Maria alikuwa na shule huko Mtoni? Sijamwelewa vizuri hapo mwanzoni mwa video.
Nashukuru kwa ufafanuzi. Lakini kwa mujibu wa maelezo ya binti Dossa, Maria Nyerere naye kuna nyakati aliitembelea shule hiyo.Gagnija,
Huyo ni Mary Ibrahim alifungua shule ya watoto wadogo wakati wa kupigania uhuru.
Shule hii ilikuwa maarufu sana kwani ilionyesha moyo wa kujitolea wa wana TANU.
Paki...Mzee Mohamed Said umeanza tena kuifukuzia zawadi nyingine?😅
Mimi kwa heshima yako nakaa pembeni, maana nafurahi ukizibeba zawadi na style yako ya kutoa shukrani😃
Hatukususii Mzee wangu, tutashiriki kwa style ya kuchangia, ila si kwa kufungua nyuziPaki...
Mnanisusia ukumbi nyie hamtaki kutafiti na kuleta historia za kwenu sasa mimi nifanye nini?
Paki...Hatukususii Mzee wangu, tutashiriki kwa style ya kuchangia, ila si kwa kufungua nyuzi
Ana tabasamu zuri kweli kweli.