Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 6,610
- 13,270
Mzee wangu Webiro 😂😂😂Kabisa , mama tunatamba nae.
View attachment 3411986
Mzee wangu Webiro 😂😂😂Kabisa , mama tunatamba nae.
View attachment 3411986
Wewe ndio yule sijui wakikukuna unawapapasa na kuwapuliza puuh?
Watu wanadai umekimbia eti upo Kiembe Samaki.
October 2pm hapana siyo kwa sababu Dkt Samia ni Mzazibari, mi nakudokeza sasa jinsi ilivyo na ukweli maana inawezekana waliokuzunguka wanakupotosha. Tanzania Bara kwanza uelewe hatuna ubaguzi na kubaguana. Kosa la kwanza kwa Dkt Samia baada ya kuapishwa ni kuanza mipasho juu ya kifo cha Dkt Magufuli. Hiyo ilipelekea hasa wafuasi wa Dkt Magufuli kudhani Dkt Samia alishiriki kumuua Dkt Magufuli. Kumbuka mwanzoni alipoapishwa kila mmoja alimpenda sana mpaka hapo alipoanza hizo kauli zenye utata.Tamaduni za ccm zilezile. Leo kisa Mama tena mzanzibar waleta nongwa. Tutaona
Unaweza kukuta huyu aliandika ni Mwanaume, maana wakati anandika lazima alikuwa anandika aikiwa ameweka kidole juuKazi iendelee...
Naona mnajitia vikumbo kujipa moyo wa kiberiti. Mipango yenu ishaporomoka kama bati ya mwezi wa kusi. Mama tunaye vilivyo, si wa kuchovya, ni wa kumeza na mfupa! Karibuni mtajua nani ndiye Boss wa meza, si wa kugongea bakuli kama huyo Babu yenu. Wakati ule mlidhani mgeni hajui chungu kina mdomo, leo atawapikia kwa moto wa makaa.
Jiandaeni kufungasha virago, maana kuanzia mwezi wa kumi mtasaga meno kama ng’ombe aliyetemwa shambani. Na bado, mchele bado haujaiva, lakini harufu yake ishajaa kijiji.
Oktoba ya kishindo
Unaweza kukuta huyu aliandika ni Mwanaume, maana wakati anandika lazima alikuwa anandika aikiwa ameweka kidole juu
October 2pm hapana siyo kwa sababu Dkt Samia ni Mzazibari, mi nakudokeza sasa jinsi ilivyo na ukweli maana inawezekana waliokuzunguka wanakupotosha. Tanzania Bara kwanza uelewe hatuna ubaguzi na kubaguana. Kosa la kwanza kwa Dkt Samia baada ya kuapishwa ni kuanza mipasho juu ya kifo cha Dkt Magufuli. Hiyo ilipelekea hasa wafuasi wa Dkt Magufuli kudhani Dkt Samia alishiriki kumuua Dkt Magufuli. Kumbuka mwanzoni alipoapishwa kila mmoja alimpenda sana mpaka hapo alipoanza hizo kauli zenye utata.
Tushamaliza kazi siyee. Twangoja octoba tuwekee. Mimi kipande changuu nilikatia mchamba wimaa.Naona wanahororoja tuu. Babu yao hawana habari naye
October 2pm ni kweli ndiyo maana waungwana tunajua Dkt Samia ni mwema sana na mwenye huruma na hana tamaa kabisa ya mali wala uongozi. Shida yake ni kushindwa kuvaa viatu vya urais. Mfano yule mdude wa Mbeya kutekwa na yeye hajatoa kauli au mzee kibao kuuawa na wahusika hawajakamatwa. Yeye alitakiwa ajichukulie points kibao kwenye hayo mambo kuonesha ana uchungu na ni Mama.Mama sio adui kama mjuavyo, adui mnamjua ila mwamuona mjanja. Soon itajulikana
Kabisa ni mwendo wa ngiri mkia juuMoto unamwako na bado
Fanya kazi nyingine uchawa mwisho mwaka huu,Kuna new regimeNa bado, shughuli wanayo hawasemi tuu
Lafudhi ya unguja,kiswahili khaswa!Nilichogundua wewe huna upemba wowote ila chawa kuchu unaefagilia wapemba. Andika yako ni dhahiri unafosi lafudhi.
October 2pm ni kweli ndiyo maana waungwana tunajua Dkt Samia ni mwema sana na mwenye huruma na hana tamaa kabisa ya mali wala uongozi. Shida yake ni kushindwa kuvaa viatu vya urais. Mfano yule mdude wa Mbeya kutekwa na yeye hajatoa kauli au mzee kibao kuuawa na wahusika hawajakamatwa. Yeye alitakiwa ajichukulie points kibao kwenye hayo mambo kuonesha ana uchungu na ni Mama.
Mwisho wa Samia na genge lake la Utekaji ni mwezi wa kumi, hawatakuwepoKazi iendelee...
Naona mnajitia vikumbo kujipa moyo wa kiberiti. Mipango yenu ishaporomoka kama bati ya mwezi wa kusi. Mama tunaye vilivyo, si wa kuchovya, ni wa kumeza na mfupa! Karibuni mtajua nani ndiye Boss wa meza, si wa kugongea bakuli kama huyo Babu yenu. Wakati ule mlidhani mgeni hajui chungu kina mdomo, leo atawapikia kwa moto wa makaa.
Jiandaeni kufungasha virago, maana kuanzia mwezi wa kumi mtasaga meno kama ng’ombe aliyetemwa shambani. Na bado, mchele bado haujaiva, lakini harufu yake ishajaa kijiji.
Oktoba ya kishindo
October 2pm umeelewa nilichoandika? Yaani kwa ufupi Dkt Samia yeye ndiye kachangia kuonekana alivyo kutokana na kuacha kile anachoamini na kuchukua ushauri mbovu. Yeye alipaswa kusimama kama yeye kama Rais afanye anachotaka yeye kama rais badala ya kusikiliza wapotoshaji. Mfano suala la Mzee Kibao kutekwa na kuuawa alipaswa ajitofautishe. Dkt Kikwete ni mfano mzuri, waliomuua Daudi Mwangosi walikamatwa, je kwa Dkt Magufuli au Dkt Samia nani kakamatwa kuhusu mdude????Subiri mjionee
Mzee anatafakari hoja!! Msimzuushie mengine!!Kabisa , mama tunatamba nae.
View attachment 3411986
Mtaje Kama wewe ni mwana CCM kweli, maana mnasema " nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko"Mama sio adui kama mjuavyo, adui mnamjua ila mwamuona mjanja. Soon itajulikana
Mtaje Kama wewe ni mwana CCM kweli, maana mnasema " nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko"
hakuna alivurugwa ila nyie wapambe na mama yenu mmejichanganga hata mkishinda hiyo 5 hamtakuwa na amaniNa bado, mmevurugwa hamjui lakushika