Mwajipa moyo eeh. Shughuli imeisha. Soon itajulikana Nani kashika mpini

Tamaduni za ccm zilezile. Leo kisa Mama tena mzanzibar waleta nongwa. Tutaona
October 2pm hapana siyo kwa sababu Dkt Samia ni Mzazibari, mi nakudokeza sasa jinsi ilivyo na ukweli maana inawezekana waliokuzunguka wanakupotosha. Tanzania Bara kwanza uelewe hatuna ubaguzi na kubaguana. Kosa la kwanza kwa Dkt Samia baada ya kuapishwa ni kuanza mipasho juu ya kifo cha Dkt Magufuli. Hiyo ilipelekea hasa wafuasi wa Dkt Magufuli kudhani Dkt Samia alishiriki kumuua Dkt Magufuli. Kumbuka mwanzoni alipoapishwa kila mmoja alimpenda sana mpaka hapo alipoanza hizo kauli zenye utata.
 
Unaweza kukuta huyu aliandika ni Mwanaume, maana wakati anandika lazima alikuwa anandika aikiwa ameweka kidole juu
 

Mama sio adui kama mjuavyo, adui mnamjua ila mwamuona mjanja. Soon itajulikana
 
Pande zote 2 mnajitangazia ushindi! Mnatuvuruga ujue.
 
Mama sio adui kama mjuavyo, adui mnamjua ila mwamuona mjanja. Soon itajulikana
October 2pm ni kweli ndiyo maana waungwana tunajua Dkt Samia ni mwema sana na mwenye huruma na hana tamaa kabisa ya mali wala uongozi. Shida yake ni kushindwa kuvaa viatu vya urais. Mfano yule mdude wa Mbeya kutekwa na yeye hajatoa kauli au mzee kibao kuuawa na wahusika hawajakamatwa. Yeye alitakiwa ajichukulie points kibao kwenye hayo mambo kuonesha ana uchungu na ni Mama.
 

Subiri mjionee
 
Mwisho wa Samia na genge lake la Utekaji ni mwezi wa kumi, hawatakuwepo
 
Subiri mjionee
October 2pm umeelewa nilichoandika? Yaani kwa ufupi Dkt Samia yeye ndiye kachangia kuonekana alivyo kutokana na kuacha kile anachoamini na kuchukua ushauri mbovu. Yeye alipaswa kusimama kama yeye kama Rais afanye anachotaka yeye kama rais badala ya kusikiliza wapotoshaji. Mfano suala la Mzee Kibao kutekwa na kuuawa alipaswa ajitofautishe. Dkt Kikwete ni mfano mzuri, waliomuua Daudi Mwangosi walikamatwa, je kwa Dkt Magufuli au Dkt Samia nani kakamatwa kuhusu mdude????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…