Mwajipa moyo eeh. Shughuli imeisha. Soon itajulikana Nani kashika mpini

Kumbe bado hamjajua nani kashika mpini
 
Pande zote 2 mnajitangazia ushindi! Mnatuvuruga ujue.
Wanatuchanganya sana 🤣 eniwei ila uhakika ni ikulu kuna ndondi,sasa tu subiri mshindi maana mnyukano unaonekana ni mkali.
 
Endelezeni ngonjela zenu na mkimaliza mjue Mhe DKt Samia Suluhu Hassan ndio rais wetu mpendwa hadi 2030 tupo nae.
 
Mi nakukubali, jeshi la mtu mmoja, ma GT wote wa JF wanaufyata, we kiboko, sisi wengine tunafuatilia mtanange tu, yeyote atakayeshinda tunampigia saluti, kila kheri boss mtarajiwa

Waache wajichetue. Jumatatu itakuwa nzuri sana
 
Wanatuchanganya sana 🤣 eniwei ila uhakika ni ikulu kuna ndondi,sasa tu subiri mshindi maana mnyukano unaonekana ni mkali.

Hao wameshasanda. Kuanzia Kesho watatoka mmojammoja kujikomba. Sio wao wala Yule babu yao
 
Mama abdul kwann umesusa..? Naona umeamua uje uchambe mwenyewe sasa. Kazi unayo
 
Mi nakukubali, jeshi la mtu mmoja, ma GT wote wa JF wanaufyata, we kiboko, sisi wengine tunafuatilia mtanange tu, yeyote atakayeshinda tunampigia saluti, kila kheri boss mtarajiwa
Huyu dogo October 2pm anatafuta likes, attention kwa kujifanya Mzanzibar na yuko jikoni.Soma posts zake zilizopita anaongea kiswahili kilichonyooka tu. Sio hiki anachoongea siku mbili, tatu zilizopita.

Thread 'Hakuna wakunitoa Kwa huyu single Mother' Hakuna wakunitoa Kwa huyu single Mother

Thread 'Hivi Open University Hapa Tanzania kinatoa Degree ya Sheria?' Hivi Open University Hapa Tanzania kinatoa Degree ya Sheria?

SoC03 - Tutapata wapi viongozi bora wenye maadili? | JamiiForums SoC03 - Tutapata wapi viongozi bora wenye maadili?
 
Si utulize kalio
Vichambo vya nini
 
Dada unachamba sana utakuwa nanunu wewe SI bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…