Mwajuma Nasombe, DED Moshi Manispaa afukuzwe kazi

Mwajuma Nasombe, DED Moshi Manispaa afukuzwe kazi

Orodha ya kuondoa mwanga na kufungukiwa mashitaka ya uhujumu uchumi:
1 . DED aliyekuwepo mwanga, Mwajuma
2. Mkuu wa Takukuru, mwanga
3. DC mwanga
4. Engineer aliyesimamia miradi hiyo
5. Afisa mipango mwanga
6. Mkuu wa TISS mwanga
7. Mwenyekiti wa Halmashauri mwanga
8. Mtunza hazina mwanga
9. DMO MWANGA
10. RMO KILIMANJARO
 
Mwajuma Nasombe, DED Moshi Manispaa ameteuliwa kukusanya fedha za uzinduzi waMwenge wa UHURU 2024.
Anakusanyia fedha na viroba Kila kona na hazina utaratibu mzuri wa kuzikusanya.
Atachota fedha nyingi na huko mwanga ameiacha Halmashauri ikiwa yatima.
 
Mwajuma Nasombe, DED Moshi Manispaa, alikuwa na sifa ngani kuhamishwa kutoka Halmashauri kwenda Manispaa??​

Kilio kilichopo mwanga cha wizi na utorishaki wa fedha za umma ni kikubwa mno.
 
Na huko TAMISEMI kunakosemwa kila siku,hao WEZI waandamizi,hawawezi kushughulikiwa?

Kutuma hela kwenye Halmashauri ili zikaliwe,wao
Kupendekeza majina ya incompetent DEDs wao
Kuhamisha wabadhirifu kwenda sehemu zingine ,wao
Kuzuia UHAMISHO halali wa wafanyakazi ,wao..
 
Hivi kati ya Watanzania zaidi ya milioni 60 kukiwa na wasomi wa kutosha; kwanini wanaoharibu kazi bado wanaendelea kupewa kazi, au ndo zile za 'watu wangu'
 
Kwa kweli kwenye halmashauri kuna changamoto.Leo tu watumishi 14 waliokuwa watumishi wa halmashauri ya Mpimbwe wamepelekwa mahakamani kwa kufuja bilioni 1.2
 
Kwa huu utawala hamna kitu, ni zaidi ya dhaifu...hakuna hatua za maana zitakazochukuliwa!.
 
Basi management yote ni ya kufumua tu. Kwa sababu inamaana ngazi za chini huku kwa Mkuu wa Wilaya hadi Mkoa walikuwa hawafahamu chochote hadi alivyokuja Makamu wa Raisi kutoka huko alikotoka ndiyo akayabaini hayo madudu?
 
Orodha ya kuondoa mwanga na kufungukiwa mashitaka ya uhujumu uchumi:
1 . DED aliyekuwepo mwanga, Mwajuma
2. Mkuu wa Takukuru, mwanga
3. DC mwanga
4. Engineer aliyesimamia miradi hiyo
5. Afisa mipango mwanga
6. Mkuu wa TISS mwanga
7. Mwenyekiti wa Halmashauri mwanga
8. Mtunza hazina mwanga
9. DMO MWANGA
10. RMO KILIMANJARO
Ni kweli kabisa Mkuu, Naungana na wewe.. Wote hawa ni wa kuondoa, Hayupo mwenyewe
 
mhandisi wa kilimo aliteuliwa kusimamia mradi na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mwanga aliyepandishwa cheo na Kuwa mkurugenzi wa Moshi Manispaa ( Mwajuma).

Ili kufahamu pa kuanzia ninashauri mhandisi wa Halmashauri ya Mwanga,aliyekuwa akisimamia mradi HUO , atafutwe anayo mengi ya kumsaidia Tume itakayo undwa.

Huko Tamisemi walio mhamisha mhandi huyo nao wafukuzwe kazi
 
Hawa sjui kama watamaliza wiki ,,hawafai kua ofisini,,,Barua naamin zimeanza kuandaliwa...
Kula mishahara bure tu. Waende tu wakalime kama mwenzao Hapi.
Huyo binti ana mizizi mirefu ila ni ule UDED wa Chupi. Namjua nje ndani Mwajuma wetu a.k.a Dada Mwalimu.
 
mhandisi wa kilimo aliteuliwa kusimamia mradi na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mwanga aliyepandishwa cheo na Kuwa mkurugenzi wa Moshi Manispaa ( Mwajuma).

Ili kufahamu pa kuanzia ninashauri mhandisi wa Halmashauri ya Mwanga,aliyekuwa akisimamia mradi HUO , atafutwe anayo mengi ya kumsaidia Tume itakayo undwa.

Huko Tamisemi walio mhamisha mhandi huyo nao wafukuzwe kazi
Toka ualimu wa shule ya msingi hadi UDED sio Mchezo. Huyo hangolewi ng'ooooooo hadi waziri asiye na wizara "mzee kwenye uzi wa Yoga" a R.I.P
 
Mwajuma, sio mzima kiafya,last year alijifungua mtoto akawa R I. P
 
Hivi kati ya Watanzania zaidi ya milioni 60 kukiwa na wasomi wa kutosha; kwanini wanaoharibu kazi bado wanaendelea kupewa kazi, au ndo zile za 'watu wangu'
Alikuwa Mwalimu wa Shule ya Msingi huko Nachingwea, akazalishwa na Waziri Mzee yule kijana wake wa kiume wa form 2. Waziri mzee na asiye na mipaka akampambania akawa DAS kule Iringa. Kule aliondoka kwa kashfa tokana na aliyekuwa mmewe kumuingiza kwenye kashfa.
 
DEDs wote wa Mheshimiwa saaana Cd Chongolo ni uchafu!! Mabinti waliokotwaokotwa kwa vigezo vya tulizo la moyo na sasa ni kilio kila kona!!
Tulizo la Moyo la Mkuchika hilo. Alizaa naye mtoto wa kiume wakati akiwa Mwalimu huku Mtwara. Akampambania akawa DAS Iringa kabla ya kuwa DED Mwanga na sasa Moshi. Uwezo mdogo kichwani yule Dada.
 
mhandisi wa kilimo aliteuliwa kusimamia mradi na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mwanga aliyepandishwa cheo na Kuwa mkurugenzi wa Moshi Manispaa ( Mwajuma).

Ili kufahamu pa kuanzia ninashauri mhandisi wa Halmashauri ya Mwanga,aliyekuwa akisimamia mradi HUO , atafutwe anayo mengi ya kumsaidia Tume itakayo undwa.

Huko Tamisemi walio mhamisha mhandi huyo nao wafukuzwe kazi
Mbona una msagia kunguni hivyo. Amekukataa nini maana yule binti ni kisu kweli.
 
Back
Top Bottom