peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
- Thread starter
-
- #21
Ni kweli kabisa Mkuu, Naungana na wewe.. Wote hawa ni wa kuondoa, Hayupo mwenyeweOrodha ya kuondoa mwanga na kufungukiwa mashitaka ya uhujumu uchumi:
1 . DED aliyekuwepo mwanga, Mwajuma
2. Mkuu wa Takukuru, mwanga
3. DC mwanga
4. Engineer aliyesimamia miradi hiyo
5. Afisa mipango mwanga
6. Mkuu wa TISS mwanga
7. Mwenyekiti wa Halmashauri mwanga
8. Mtunza hazina mwanga
9. DMO MWANGA
10. RMO KILIMANJARO
Huyo binti ana mizizi mirefu ila ni ule UDED wa Chupi. Namjua nje ndani Mwajuma wetu a.k.a Dada Mwalimu.Hawa sjui kama watamaliza wiki ,,hawafai kua ofisini,,,Barua naamin zimeanza kuandaliwa...
Kula mishahara bure tu. Waende tu wakalime kama mwenzao Hapi.
Toka ualimu wa shule ya msingi hadi UDED sio Mchezo. Huyo hangolewi ng'ooooooo hadi waziri asiye na wizara "mzee kwenye uzi wa Yoga" a R.I.Pmhandisi wa kilimo aliteuliwa kusimamia mradi na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mwanga aliyepandishwa cheo na Kuwa mkurugenzi wa Moshi Manispaa ( Mwajuma).
Ili kufahamu pa kuanzia ninashauri mhandisi wa Halmashauri ya Mwanga,aliyekuwa akisimamia mradi HUO , atafutwe anayo mengi ya kumsaidia Tume itakayo undwa.
Huko Tamisemi walio mhamisha mhandi huyo nao wafukuzwe kazi
Alikuwa Mwalimu wa Shule ya Msingi huko Nachingwea, akazalishwa na Waziri Mzee yule kijana wake wa kiume wa form 2. Waziri mzee na asiye na mipaka akampambania akawa DAS kule Iringa. Kule aliondoka kwa kashfa tokana na aliyekuwa mmewe kumuingiza kwenye kashfa.Hivi kati ya Watanzania zaidi ya milioni 60 kukiwa na wasomi wa kutosha; kwanini wanaoharibu kazi bado wanaendelea kupewa kazi, au ndo zile za 'watu wangu'
Tulizo la Moyo la Mkuchika hilo. Alizaa naye mtoto wa kiume wakati akiwa Mwalimu huku Mtwara. Akampambania akawa DAS Iringa kabla ya kuwa DED Mwanga na sasa Moshi. Uwezo mdogo kichwani yule Dada.DEDs wote wa Mheshimiwa saaana Cd Chongolo ni uchafu!! Mabinti waliokotwaokotwa kwa vigezo vya tulizo la moyo na sasa ni kilio kila kona!!
Mbona una msagia kunguni hivyo. Amekukataa nini maana yule binti ni kisu kweli.mhandisi wa kilimo aliteuliwa kusimamia mradi na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mwanga aliyepandishwa cheo na Kuwa mkurugenzi wa Moshi Manispaa ( Mwajuma).
Ili kufahamu pa kuanzia ninashauri mhandisi wa Halmashauri ya Mwanga,aliyekuwa akisimamia mradi HUO , atafutwe anayo mengi ya kumsaidia Tume itakayo undwa.
Huko Tamisemi walio mhamisha mhandi huyo nao wafukuzwe kazi