Mwajuma Nasombe, DED Moshi Manispaa afukuzwe kazi

Watanzania wanapaswa kufahamu haya;
1. Huwa inaelezwa kuwa wilaya ya Mwanga ndio halmashauri maskini na iliyokaa kishamba zaidi kuliko halmashauri zote katika mkoa wa Kilimanjaro. Na kiini cha tatizo ni watendaji wabovu wa halmashauri na wala sio wenyeji wake.

2. Mwajuma Nasombe (ambaye alikuwa DED hapo Mwanga kabla ya kuhamishimiwa Manispaa ya Moshi) inaelezwa kuwa yeye alikuwa ni msumari wa mwisho wa kuizika hiyo halmashauri, mwana mama alipiga pesa ndefu na hapo hapo kuwavuruga watumishi wa chini (idara ya Afya, Elimu). Japokuwa mwisho wa siku watumishi wale 'walimchezea kitamaduni' kiasi cha kutaka kupoteza maisha yake. Vijana walimpiga mimba ya chap chap, washirikina wakahakikisha anakufa na mimba yake, chupu chupu apoteze maisha akakimbilia Moshi, bahati mbaya mtoto ndio akafariki, baada ya hapo mwanamama akagoma kurejea Mwanga, mama yake akamlilia kaka (PM), mkeka ukasoma haraka sana ahamishiwe Moshi manispaa. Mwanamama akaapa, hatakajanya Mwanga milele!!
 
Huko walipompeleka (muhamiahia) wana uhitaji na watendaji wabadhifu?
 
Mnaushahidi au mnachafua majina ya watu tu.
Tatizo ulilonalo hukusoma UDSM.

Kuna watu wanaitwa mzee au Punch.

Hawa Wanajua historia ya Binti wote ambao hawana nidhamu.

Wakikuamdika hawakosei.

Mwajuma, hajaonewa.
 
Yaani Siku hizi nchi iko kwenye auto inajiendea endea tu
 
Mwajuma kabarikiwa wowowo hata akifukuzwa kazi atapata nyingine
 
Moshi kuna ufisadi wa kutisha, ujenzi wa ukuta pale manispaa, miradi ya maji wa same, fedha za maendeleo, yaani ni kulindana tu .
Wameuza maeneo ya wazi na wapo madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…