Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #21
Enzi zile ni tofauti na sasa.Na Israel inajuwa.Haikushindwa? Unaongea ujinga gan mkuu. Unajua kwanini misri walikubali kusain mkataba wa aman. Israel iliteka nusu ya askari wake kwa taarifa Yako. Kwenye jangwa la Sinai. Wakakosa mahtaji ndio wakalazimishwa kusain.
Ule kwa mtazamo wako ni ushindi lakini ukweli ni kushindwa ndio maana ikalazimisho kutiliana saini.