Ni Mbowe huyu ?Katika pitapita zangu nimekutana na hii picha ya harusi ya Freeman Mbowe mwaka 1991.
Utaona ni kwa namna gani Mbowe alikuwa katika hadhi gani kwa miaka hiyo. Hii picha inafikirisha sana.
Freeman Mbowe nakupa maua yako ungali uhai ili uyanuse.
🤣🤣🤣AiseeAfrika kuna kuzaliwa na kujambwa!!Tunatofautiana sana.
Na picha inavutia kuangalia na macho mpaka leo hii 🔥🔥🔥Hapo ni mwaka 1991 keki tu ngazi 17,dah wenzetu wameanza kuishi kitambo.
Kujambwa... hapana aisee huo ni mtizamo wako... waheshimu walio kuzaa hata kama ni hohehahe.Afrika kuna kuzaliwa na kujambwa!!Tunatofautiana sana.
Afrika kuna kuzaliwa na kujambwa!!Tunatofautiana sana.
Nawaheshimu sana.WAAFRIKA tuna tatizo pahala.Kujambwa... hapana aisee huo ni mtizamo wako... waheshimu walio kuzaa hata kama ni hohehahe.
By the way, mi naona fahari ku hustle from zero kuliko hii kuzaliwa kwenye silver spoon
Bwana taamu ni sweet kwa kinefili nilimtunuku bibie fulani.SIFUTI kauli.Bwana/Bibi Tamu una matatizo... uwe unafikiri kabla ya kuropoka
Kuzaliwa masikini sio kosa lako, kufa masikini ni kosa lako.
Huyu ni Freeman? Mbona hafanani? Hebu cheki vizuri isije ukawa umekosea picha mkuu mtoa mada.Katika pitapita zangu nimekutana na hii picha ya harusi ya Freeman Mbowe mwaka 1991.
Utaona ni kwa namna gani Mbowe alikuwa katika hadhi gani kwa miaka hiyo. Hii picha inafikirisha sana.
Freeman Mbowe nakupa maua yako ungali uhai ili uyanuse.
Sasa usitumie neno kujambwa... hiyo ni ku insult wazazi wako... hakuna aliyechagua kuzaliwa alipo zaliwa.N
Nawaheshimu sana.WAAFRIKA tuna tatizo pahala.
Sifuti kauli.Kama dhambi niongezewe.Sasa usitumie neno kujambwa... hiyo ni ku insult wazazi wako... hakuna aliyechagua kuzaliwa alipo zaliwa.
Kusema waafrika tuna tatizo mahali still doesnt solve any problem. What is your solution?
Je, wewe unachukua hatua gani kujikomboa? Maana wewe unaisema Afrika, lakini i can guarantee, kuna watu wanaishi Afrika hii hii from zero.. na bado wanatoboa maisha...
Its a mindset war
Kweli Hela tamu mkuu,tuisake.Na picha inavutia kuangalia na macho mpaka leo hii 🔥🔥🔥