Mwaka 1991 katika harusi ya Freeman Mbowe

Mwaka 1991 katika harusi ya Freeman Mbowe

Katika pitapita zangu nimekutana na hii picha ya harusi ya Freeman Mbowe mwaka 1991.

Utaona ni kwa namna gani Mbowe alikuwa katika hadhi gani kwa miaka hiyo. Hii picha inafikirisha sana.

Freeman Mbowe nakupa maua yako ungali uhai ili uyanuse.


Huyo best man wake ndoa zote za kishua enzi hizo alikuwa anasimamia
Alikuwa analipwa nini huyu T M
 
Macho yako yanafizama kishogashoga?
Screenshot_20230820-033417.jpg
 
Plz picha itumwe tena haifunguki na sisi tutoe macho
 
Back
Top Bottom