Mwaka 1991 katika harusi ya Freeman Mbowe

Mwaka 1991 katika harusi ya Freeman Mbowe

Kujambwa... hapana aisee huo ni mtizamo wako... waheshimu walio kuzaa hata kama ni hohehahe.

By the way, mi naona fahari ku hustle from zero kuliko hii kuzaliwa kwenye silver spoon
Acha kujifariji wewe....ety kuhustle ni Bora. Unadhani wanaozaliwa familia za mboga Saba hawa'hustle? Tatizo huwa mnachukulia kuhustle kwamba lazima mtu avuje mijasho na kamasi ndo aitwe hustler.
 
Back
Top Bottom