mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,345
- 56,148
Nimekumbuka mbali sana leo
My classmate Ally mayay alivyoandikwa na lile gazeti
Japo ilikuwa kweli hawakumtendea haki
Habari ile ilimtia simanzi,alishinda ndani analia tu,rafiki zake, John Mwansansu na Renatus Njohole wakamfanyia mchongo kwenda nje, kufika ubalozini akanyimwa ViSA
Mwamba akatulia kitaa baadae akajiunga CBE kwa ngazi ya certificate akitumia vyeti vya kidato cha nne, kilichofuata ni historia, kutoka cerificate akarukia diploma, nasikia aliunga mwaka degree na kunyaka ajira ya asifa biashara wizara ya biashara.
Mwamba mpambanaji sana ila anashindwaje kufungua code za kukalia kiti cha urais wa TFF?
Njia anayoitumia itamchelewesha sana aje nimpe mbinu
Kimaisha Ally Mayay ametuzidi sisi ma classmate wake ila kiujanja wa mjini badobado sana, huwezi kumtoa Karia kwa kumfanya Salamba kuwa campain manager wako wakati kuna watoto wa mjini kaka zake akina Aden Rage na Julio wangeiweza hiyo kazi