Propaganda za kisiasa hizi..mnamuogopa..inaweza kuwa kweli lakini kumbuka Kuna kurudia mitihani.Nimekumbuka mbali sana leo
My classmate Ally mayay alivyoandikwa na lile gazeti
Japo ilikuwa kweli hawakumtendea haki
Weka huo ukurasa wa gazetiUlikuwa mdogo sana au ulukuwa hujaja mjini
Mbona ilijulikana kila sehemu
Ila kwa hapo alipofika na zero yake amejitahidi sana. Ila angejipima na yeye, angeangalia hata nafasi ya mjumbe akagombea. Urais wa TFF na zero haiendi kabisaNimekumbuka mbali sana leo
My classmate Ally mayay alivyoandikwa na lile gazeti
Japo ilikuwa kweli hawakumtendea haki
Kama ametoboa kimaisha zero yake siyo kitu.Nimekumbuka mbali sana leo
My classmate Ally mayay alivyoandikwa na lile gazeti
Japo ilikuwa kweli hawakumtendea haki
Ni kweli na wala hakurudia mitihani, alitafuta njia nyingine ya elimu na akatoboa fresh tuPropaganda za kisiasa hizi..mnamuogopa..inaweza kuwa kweli lakini kumbuka Kuna kurudia mitihani.
Sisi wafukunyuzi hatuoni hii habari. Kwa mtaji huu, lete ushahidi mdukuzi la sivyo haya ni majunguNimekumbuka mbali sana leo
My classmate Ally mayay alivyoandikwa na lile gazeti
Japo ilikuwa kweli hawakumtendea haki
Habari ile ilimtia simanzi,alishinda ndani analia tu,rafiki zake ,john mwansansu na Renatus Njohole wakamfanyia mchongo kwenda nje,kufika ubalozini akanyimwa ViSA
Mwamba akatuli kitaa baadae akajiunga CBE kwa ngazi ya certificate akitumia vyeti vya kidato cha nne,kilichofuata ni historia,kutoka cerificate akarukia diploma,nasikia aliunga moaka degree na kunyaka ajira ya asifa biashara wizara ya biashara.
Mwamba mpambanaji sana ila anashindwaje kufungua code za kukalia kiti cha urais wa TFF???
Njia anayoitumia itamchelewwsha sana aje nimpe mbinu
Kimaisha Ally Mayay ametuzidi sisi ma classmate wake ila kiujanja wa mjini badobado sana,huwezi kumtoa Karia kwa kumfanya Salamba kuwa campain managet wako wakati kuna watoto wa mjini kaka zake akina Aden Rage na Julio wangeiweza hiyo kazi
Sisi wakubwa hii tunaijua. Na tunajua pia kuwa "watu wa mpira" HAWAMKUBALI kabisa Mayayi.Ulikuwa mdogo sana au ulukuwa hujaja mjini
Mbona ilijulikana kila sehemu
Anzeni na Rais Samia kwanzaWadada wenye mimba changa huwa mna matatizo sana!!. Kamati ya uchaguzi inatakiwa kufuta endoserment zote alizopewa karia na mchakato wa kupata uanze upya!!. Utapeli wa Karia umefika mwisho.... Na wakigoma Mahakama zipo watu watawapeleka huko.
#Karia must go.
Hayo ya samia kamwambie yeye huyo shoga yako!! Naona mimba yako inakupeleka mputa!.Anzeni na Rais Samia kwanza
Kwa nini kajipitisha mgombea urais peke yake.
Katiba ya TFF ni copy and paste ya katiba ya Fifa
Mpira ni mali ya Fifa sio serikali