Mwaka 1999 kuna gazeti liliandika “Ally Mayay apata yai mtihani kidato cha sita”

'NASIKIA ALIUNGA MPAKA DEGREE' kwa hiyo huna uhakika au umeacha tuu kusema aliunga mpaka degree.
 
Nasikia ana masters sasa. Yuko vizuri
 
Ameshatoboa sana tu,sema zero yake na upole wake vinaonekana dhairi,kumshirikisha Salamba ukidhani unaweza kumtoa Karia ni maamuzi ya zero brain
Kama kashalamba degree hiyo zero yake kaa nayo wewe sisi huku haitusaidii tunachojua kama anazo sifa basi anastahili. Acha wivu wa kimapenzi mbona Babu yako alifeli darasa la saba na akarudia miaka minne (4) ndio akafafaulu na kuchaguliwa Zanaki, mbona hauji kusema, acha wivu wa kilodi lofa.
 
......huwezi kumtoa Karia kwa kumfanya Salamba kuwa campain manager wako wakati kuna watoto wa mjini kaka zake akina Aden Rage na Julio wangeiweza hiyo kazi
Uchaguzi uliopita, aliungwa mkono na hao akina JULIO, na kusindikizwa kuchukua fomu! Tatizo lililopo, ni mfumo wao wa uchaguzi. Ni wa ki CCM- CCM mtupu! Mara umekosea kuandika jina, mara umekosea spelling, mara hapa umeweka mkato badala ya nukta, unarudisha fomu saa nne asubuhi, Mkurugenzi hayupo ofisini, anakuja kuonekana saa kumi na nusu, unaambiwa umechelewa, mwisho ni saa kumi kamili jioni!
Bila kuuondoa huo utaratibu wao, unaomwezesha mtu kuhodhi wajumbe karibu wote, hatutapata viongozi tuwatakao, au mabadiliko!
 
Sifa anazo ndio ila ajifunze code za kuingia madarakani Tff
 
Kuna watu wengi walimaliza fom six wakazingua, wakaanza certificate wengine diploma one, wakamaliza wakaingia degree wakamaliza na maisha mengine yanaendelea,

Kufeli fom six inaumiza wengi sana hii Ila sio mwisho wa kufanya vzr kimasomo unapotafuta njia mbadala

Kwenye soka mm ni zero rated ama exempted kabisa
 
We jamaa bana una machekesho
 
Nadhani Litakuwa gazeti la lete raha lilikuwa chini ya marehemu Mengi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…