Mwaka 2000 ulikuwa darasa la ngapi?

Mwaka 2000 ulikuwa darasa la ngapi?

Fake id inasaidia kutokunibashiri umri wangu.Labda uwe unasoma ninachoandika mara kwa mara JF.Kuna muda huwa nakuwa kavulana.Kuna muda nakuwa baba mwenye familia ninayoendelea kuilea.Kuna muda nakuwa mchungaji au wa dini isiyoeleweka.Kuna kipindi naamua kuzeeka hadi nashindwa kuandika kiswahili vizuri.Kuna kipindi nakuwa mzungu au Mkongomani.Sijui baadaye ntakuwa nani!
 
Ndio nazaliwa
st,small,845x845-pad,1000x1000,f8f8f8.jpg
 
Fake id inasaidia kutokunibashiri umri wangu.Labda uwe unasoma ninachoandika mara kwa mara JF.Kuna muda huwa nakuwa kavulana.Kuna muda nakuwa baba mwenye familia ninayoendelea kuilea.Kuna muda nakuwa mchungaji au wa dini isiyoeleweka.Kuna kipindi naamua kuzeeka hadi nashindwa kuandika kiswahili vizuri.Kuna kipindi nakuwa mzungu au Mkongomani.Sijui baadaye ntakuwa nani!
Jf unabadilisha personality kadri upendavyo ndio maana kuna mambo au mada sio za kuchukukulia uziito😊
 
Form 3. Kuelekea mwaka mpya wa 2000 Nakumbuka kulikuwa na uvumi wa Y2K kuwa kompyuta zitapoteza kumbukumbu sijui vitu gani...ila hakuna tatizo lilitokea
umenikumbusha mbali sana aisee,na Hadija Kopa akatoa na wimbo wa y2k
 
Sasa ngoja nistaafu. Duh. Uwa najibizana na watoto zangu humu.
 
Form 3. Kuelekea mwaka mpya wa 2000 Nakumbuka kulikuwa na uvumi wa Y2K kuwa kompyuta zitapoteza kumbukumbu sijui vitu gani...ila hakuna tatizo lilitokea
Wale kondoo wenzangu tulishadanganywa kwamba ndio mwisho wa dunia, hasa wasabato walikomalia sana kujidai eti sijui unabii wa kwenye ufunuo... Dunia ina vituko sana.
 
Back
Top Bottom