Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Ndio nazaliwaMimi naanza nilikuwa darasa la kwanza.
Haya twende tiririka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio nazaliwaMimi naanza nilikuwa darasa la kwanza.
Haya twende tiririka.
😂 Sio kweli najua unatania[emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Huo mwaka nilikua form 4 can you imagine???!!!![emoji848][emoji848][emoji6]
Ndio nazaliwa
Si unajua T hatuzeekagi Mdogo wangu umri ushanitupa mkonooo!😉😂 Sio kweli najua unatania
Babygirl mzuri mzuri mbichiiiiii🤩Miss you sis akee😘😘😘!!!Ndio nazaliwa
Miss u more ccy😘😘😘😘😘Babygirl mzuri mzuri mbichiiiiii🤩Miss you sis akee😘😘😘!!!
Jf unabadilisha personality kadri upendavyo ndio maana kuna mambo au mada sio za kuchukukulia uziito😊Fake id inasaidia kutokunibashiri umri wangu.Labda uwe unasoma ninachoandika mara kwa mara JF.Kuna muda huwa nakuwa kavulana.Kuna muda nakuwa baba mwenye familia ninayoendelea kuilea.Kuna muda nakuwa mchungaji au wa dini isiyoeleweka.Kuna kipindi naamua kuzeeka hadi nashindwa kuandika kiswahili vizuri.Kuna kipindi nakuwa mzungu au Mkongomani.Sijui baadaye ntakuwa nani!
Form 4 ya mabua😅😅[emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Huo mwaka nilikua form 4 can you imagine???!!!![emoji848][emoji848][emoji6]
Kweli mjomba!! Nimekula chumvi nyingiiiForm 4 ya mabua[emoji28][emoji28]
2000 niko form5Mimi naanza nilikuwa darasa la kwanza.
Haya twende tiririka.
umenikumbusha mbali sana aisee,na Hadija Kopa akatoa na wimbo wa y2kForm 3. Kuelekea mwaka mpya wa 2000 Nakumbuka kulikuwa na uvumi wa Y2K kuwa kompyuta zitapoteza kumbukumbu sijui vitu gani...ila hakuna tatizo lilitokea
Wale kondoo wenzangu tulishadanganywa kwamba ndio mwisho wa dunia, hasa wasabato walikomalia sana kujidai eti sijui unabii wa kwenye ufunuo... Dunia ina vituko sana.Form 3. Kuelekea mwaka mpya wa 2000 Nakumbuka kulikuwa na uvumi wa Y2K kuwa kompyuta zitapoteza kumbukumbu sijui vitu gani...ila hakuna tatizo lilitokea
Shangazi umeanza lini fix 😊😊😊.. Usema kweli hata baba na mama walikuwa hajuani bado hiyo 2000Kweli mjomba!! Nimekula chumvi nyingiii