Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Unakumbuka Mwaka 2002 ulikua Wapi ??
isho
Mnamo Tarehe 02 Novemba mwaka 2002 ndo ilikua siku ya mwisho Wanadamu wote kuwa pamoja Duniani. Yani miaka yote Wanadamu baadhi wanasafiri kutoka nje ya Dunia 🌍.
Ila siku ya Tarehe 02 Novemba 2002 ndo siku ambayo hakuna Mwanadamu aliyetoka nje ya Dunia sote tukawa Duniani Kwaiyo Tangu siku hiyo angalau mtu mmoja amekuwa angani kila wakati, akiendelea kuishi ndani ya Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu (ISS).
Kwa zaidi ya miongo miwili, wanaanga wamezunguka sayari yetu, kuashiria uwepo wa mwanadamu usiovunjika nje ya Dunia.
Toka Mwaka 2002 ndo ilikua Mara ya mwisho Wanadamu wote kukusanyika Duniani bila kuwa na safari ya kutoka nje ya Dunia.
#astronauts #bongotech255 #habari #2002 #nasa #explore #teknoloji #dunia #worlds