mtubika
Member
- Aug 25, 2022
- 16
- 21
Hili la wahuni kukuchapia labda uwe ni wa Transit, lakini local unawahi kurudi maana miundo mbinu ishakuwa Safi. Sema enzi hizo za kuja kupita Sekenke mpaka utulize kwanza Shelui au Misigiri siku mbili unaomba sala zote. Na kuchapiwa labda shemeji kama si mvumilivu hata kama upo watachapa tu wahuni.👣👣Kazi tamu sana lakin familia hukai nayo na mke wahuni wanakuchapia