Hili la wahuni kukuchapia labda uwe ni wa Transit, lakini local unawahi kurudi maana miundo mbinu ishakuwa Safi. Sema enzi hizo za kuja kupita Sekenke mpaka utulize kwanza Shelui au Misigiri siku mbili unaomba sala zote. Na kuchapiwa labda shemeji kama si mvumilivu hata kama upo watachapa tu wahuni.π£π£Kazi tamu sana lakin familia hukai nayo na mke wahuni wanakuchapia
Siku mbili unatafakari namna ya kutoboa!Hili la wahuni kukuchapia labda uwe ni wa Transit, lakini local unawahi kurudi maana miundo mbinu ishakuwa Safi. Sema enzi hizo za kuja kupita Sekenke mpaka utulize kwanza Shelui au Misigiri siku mbili unaomba sala zote. Na kuchapiwa labda shemeji kama si mvumilivu hata kama upo watachapa tu wahuni.π£π£
Kwani hakuna namna ya kisafiri naye?!Kazi tamu sana lakin familia hukai nayo na mke wahuni wanakuchapia
Ukitafuta ambae hazai au hataki kuzaa inawezekanaKwani hakuna namna ya kisafiri naye?!
Yote hiyo kukwepa wahuni wasimjaze mimbaUkitafuta ambae hazai au hataki kuzaa inawezekana
Ha ha haUkitafuta ambae hazai au hataki kuzaa inawezekana
Ndugu yangu SEKENKE ilikuwa si mchezo....mara unasikia njia imefunga.....mara kuna gari imemeza moto(msemo huu kwa sasa unapotea)....Nakumbuka kuna mwaka njia ilifunga kwa siku kadhaa,,,,,,Ile njia kwakweli halafu umefunga dengla ya ft 20 sio kama hizi za sasa kama pick up duh! unafika sekenke unaomba mtu mwenye Puling akupandishie juu duh!
IKO HIVIISema madereva semi kwa kutembeza bakora bin mkwaju hamjambo
Sawa,ila huku mtaani wanasifika hivyoHiyo ni imani....waungwana wapo na wa hovyo wapo
Kwakweli na madereva nakumbuka ile kipindi tulitokea kumchikia sana waziri wa ujenzi wakati ule ulipo kuja kuanza ule mchakato wa kuitengeneza ile mpya halafu wakandarasi wakawa wanachelewa tu wanafanya mambo yao tu huku tukipambana kama yatima.Ndugu yangu SEKENKE ilikuwa si mchezo....mara unasikia njia imefunga.....mara kuna gari imemeza moto(msemo huu kwa sasa unapotea)....Nakumbuka kuna mwaka njia ilifunga kwa siku kadhaa,,,,,,
Ndio mkuu ndo maana ukifuatilia maeneo mengi madereva wa semi wanapopumzika ili kesho yake waendelee na safari kuna uzinzi sanawalio wengi