Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Kwa jinsi ulivyojibu,imebidi nicheke tu ingawa hilo jibu halinipendezi.Itabidi kufuta tena
HahahaKwa jinsi ulivyojibu,imebidi nicheke tu ingawa hilo jibu halinipendezi.
Mwinyi Jr keshasema wazi HATADHULUMU KURA
Ila neno lake litawapunguza spidiMzulumishi sio yeye
Kama ni hivyo basi imeshakula kwetu.Wewe umeambiwa uchaguzi utafanyika siku mbili.. Siku ya Kwanza watapiga polisi na wasimamizi wa uchaguzi. Jiulize nani atasimamia uchaguzi wa siku ya kwanza. Kura za siku ya kwanza zitahifadhiwa wapi. Nani atashuhudia ujumlishaji wa kura za siku ya kwanza na siku ya pili?
Uchaguzi siku mbili wamefeli kwahiyo hilo kundi la mwanzo watapiga vp kura za kumchagua mbunge na Rais wa mungano wakati itakua tarehe 28 haijafikaHujiulizi kwanini mwaka huu Kuna kundi linapiga kura tarehe 27 October, na jingine tarehe 28 huko visiwani?. Huku bara Raisi atakayeapishwa November tayari anafahamika tu. Wengine wanachamgamsha uchumi mikoani kuongeza mzunguko wa pesa mtaani.
Unasubiri ZEC watafananya nini au wazanzibari watafanya maamuzi gani ? Nawashauri wazanzibari wenzangu wafanye maamuzi magumu, huyo mtoto wa Mwinyi sidhani kama ana ufahamu wa matatizo waliyonayo wazanzibari. Ukimsikiliza ahana dira yoyote ya uongozi, ana mawazo ya kuwa kucopy na kupaste idea za mambo aliyojifunza kutoka Tanganyika.Wadau, hili ndio swali tunalopaswa kujiuliza kwa kuzingatia yaliyotokea mwaka 2015 ambapo matokeo ya uchaguzi yalifutwa na Bwana Jecha ambae ndio alikuwa kiongozi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).
Binafsi na ni imani yangu tuko wengi tunaoamini kuwa hata mwaka huu Maalim Seif atashinda uchaguzi huko Zanzibar kama dalili zinavyoonyesha.
Swali hapa ni je, safari hii atatangazwa mshindi iwapo atashinda?
Wasipomtangaza, wamejipanga kufanya nini au muda ndio utajua nini kifanyike?
Na wapinzani safari hii walivyopania, watakubali kutotangazwa washindi iwapo watakuwa na uhakika wameshinda huko Visiwani na hata huku Bara?
Pengine swali gumu kuliko yote ni je, Maalim Seif akiingia Ikulu ya Zanzibar, ataacha kuitisha kura ya maoni Wazanzibar waamue hatima ya Muungano?
Tuombe uzima kuona Taifa hili likirekodi historia mpya mwaka huu kuhusiana na maswala ya uchaguzi Bara na Visiwani.
Unasubiri ZEC watafananya nini au wazanzibari watafanya maamuzi gani ? Nawashauri wazanzibari wenzangu wafanye maamuzi magumu, huyo mtoto wa Mwinyi sidhani kama ana ufahamu wa matatizo waliyonayo wazanzibari. Ukimsikiliza ahana dira yoyote ya uongozi, ana mawazo ya kuwa kucopy na kupaste idea za mambo aliyojifunza kutoka Tanganyika.
Labda nimkubushe tuu kajisahau Zanzibar ni tofauti sana na Tanganyika. Kisiasa, sera za kiuchumi, silka na utamaduni. Zipo sehemu za Tanganyika na hata Kenya zinafanana na Zanzibar. Kusema utaiga ajenda yako kuu ni kuiga uongozi wa Magufuli kwenda nao Zanzibar au kusema ajenda yako kuu ni kupigania rushwa. Mbona Zanzibar kuna matatizo yenye prio zaidi ya hili ? Nasisitiza priority/vipa umbele ni muhimu katika uongozi.
Mambo ni mengi, lakini kila kiongozi huchagua yale muhimu na kuanza kuyatanguliza. Nimalize kwa kuwakumbusha wazanzibari kama wana wajibu wa kuilinda demokrasia na uhuru na hadhi ya visiwa vya Zanzibar. Hili si jukumu la Magufuli wala Seif, ni kila mmoja kama mwananchi ana haki ya kuhakikisha anatekeleza jukumu lake kama yeye binafsi.