Unajua hata waingereza walikuwa wakifikiria hivyo hivyo kama Nyerere akiwa kiongozi hawatamuachia afanye mambo fulani fulani hivi. Pia na Mandela makaburu walifikiria hivyo. Ni akili za kikoloni tuu hizo, inafurahisha kuona Tanganyika iliokuwa ikijinata kupigania uhuru barani Afrika sasa imekuwa mkoloni na raia wake wengi wakifurahia. Tukumbushe mkuki kwa nguruwe!Kwa Sjingo upande Maalim atatangazwa lakini Serikali yake haitaachiwa kufanya yale ambayo itataka kufanya hususani yaliyo kwenye muungano.
Siku zote ccm hushinda zanzibar, tatizo ni pale ambapo wananchi wanaaminishwa kuwa et maalimu huwa anashinda. Hata mwaka huu ccm itashinda lakini kutakuwa na kelele zile zile ambazo hazimzuu punda kunywa majiWadau, hili ndio swali tunalopaswa kujiuliza kwa kuzingatia yaliyotokea mwaka 2015 ambapo matokeo ya uchaguzi yalifutwa na Bwana Jecha ambae ndio alikuwa kiongozi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC)....
iMESHAKULA KWAKE SIKU NYINGISalary Slip,
Maalim Seif ni muumini mkubwa sana wa muungano,lakini sio kwa muundo huu, ni lazima wataubadili
Unajua hata waingereza walikuwa wakifikiria hivyo hivyo kama Nyerere akiwa kiongozi hawatamuachia afanye mambo fulani fulani hivi. Pia na Mandela makaburu walifikiria hivyo.!
lISSU HAPATI HATA IDADI YA KURA ALIZOPATA MBOWE MWAKA 2005.POLENICCM wametuona watz vilaza naomba Lissu aoneshe mfano kuwa mstari wa mbele kwenda kuvamia ikulu endapo haki haitatendekeka, nchi hii sio Mali ya CCM tumechoka na utopolo wao.
Inabidi hukusikia mpango wao wa mara hii? mbona wameweka wazi, siku ya kwanza wanapiga kura watu flani (ndio siku ya mipango ya wizi) na siku ya pili ndio jumla jamala.Wasipomtangaza, wamejipanga kufanya nini au muda ndio utajua nini kifanyike?
Wamepania kumpa mtu ushindi kwenye sahani. Kwasababu ni mrithi wa babayake.Wadau, hili ndio swali tunalopaswa kujiuliza kwa kuzingatia yaliyotokea mwaka 2015 ambapo matokeo ya uchaguzi yalifutwa na Bwana Jecha ambae ndio alikuwa kiongozi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).
Binafsi na ni imani yangu tuko wengi tunaoamini kuwa hata mwaka huu Maalim Seif atashinda uchaguzi huko Zanzibar kama dalili zinavyoonyesha.
Swali hapa ni je, safari hii atatangazwa mshindi iwapo atashinda?
Wasipomtangaza, wamejipanga kufanya nini au muda ndio utajua nini kifanyike?
Na wapinzani safari hii walivyopania, watakubali kutotangazwa washindi iwapo watakuwa na uhakika wameshinda huko Visiwani na hata huku Bara?
Pengine swali gumu kuliko yote ni je, Maalim Seif akiingia Ikulu ya Zanzibar, ataacha kuitisha kura ya maoni Wazanzibar waamue hatima ya Muungano?
Tuombe uzima kuona Taifa hili likirekodi historia mpya mwaka huu kuhusiana na maswala ya uchaguzi Bara na Visiwani.
Huyu amechaguliwa ili kurahisisha ushindi wa Maalim SeifMwinyi Jr keshasema wazi HATADHULUMU KURA
Waache kuweka Mpira kwapani,wakiwa wanakubalika sana waingie uwanjani watuonyeshe kukubalika kwao.Mwaka huu wamepanga kukata majina ya wagombea maafufu ,wanaohisi watawaangusha CCM ,Lissu ,Membe ,Maalim majina yatakatwa na tume hawana sifa kwa mujibu maelekezo kutoka juu kwa yesu wa CCM.